Black American movies

Black American movies

Nimetoka kuangalia "The Banker".

Bonge la movie.

Majamaa mawili black yalicheza ndani ya mfumo wa ubaguzi wa rangi wa Marekani uliokataza watu weusi kumiliki nyumba.

Yakawa yanatumia watu weupe kununua nyumba, yakanunua mpaka ghorofa kubwa kabisa Los Angeles. Kisha yakaanxa kununua mabenki Texas na kuwapa mikopo watu weusi wajiendeleze.

Watu weupe walivyostukia mchezo, jamaa walinyanyaswa sana mpaka kufikia kuhojiwa bungeni.

Bonge la movie.

Based on a true story.

The Banker on Apple TV+

The Banker (2020) - IMDb

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Bonhe la movie.

Based on a true story.

Sent from my typewriter using Tapatalk
Mimi bado narudia kuangalia ile movie ya Magufuli kunywa kahawa chato!
 
Inahusiana na Nini hiyo?
Jamaa mmoja maisha Safi Ana mke wake,jamaa anamcontrol Sana Dem, jamaa hahitaji mtoto kwa muda huo..na anamuekea vitu flani ili asishike mimba..bdae Dem anakuja kusanuka Kisha anashika mimba alafu anafake ajali Kama amekufa ili amtoroke jamaa...Dem anaenda kuishi sehrm nyingne anabadilisha na jina...huko anapata msela wanapendana na mimba yake hvo hvo..akishajifungua yule msela wa mwanzo anakuja kufuatilia anagundua more hakufa..anamsaka anampata na mtoto wake..in short ipo hivo
 
Nimetoka kuangalia "The Banker".

Bonge la movie.

Majamaa mawili black yalicheza ndani ya mfumo wa ubaguzi wa rangi wa Marekani uliokataza watu weusi kumiliki nyumba.

Yakawa yanatumia watu weupe kununua nyumba, yakanunua mpaka ghorofa kubwa kabisa Los Angeles. Kisha yakaanxa kununua mabenki Texas na kuwapa mikopo watu weusi wajiendeleze.

Watu weupe walivyostukia mchezo, jamaa walinyanyaswa sana mpaka kufikia kuhojiwa bungeni.

Bonge la movie.

Based on a true story.

The Banker on Apple TV+

The Banker (2020) - IMDb

Sent from my typewriter using Tapatalk
ngoja niipakue mzeee
 
Bonge la movie..nalikong'otea hapa na hii mini lockdown
 
IMG_20200414_001621_323.jpg

IMG_20200414_001439_118.jpg
 
Itafute South central L.A au Deuce ya Baby Johnson jamaa wanagenge la masela wanajiita ma Deuce ukiuwa unaonekana ndio Og noma sana jamaa anaenda jela anapata habar mwanae mdogo huko street anaharibu sana yaan dogo kapagawa kawa msela jamaa anatamani atoke jela ambadilishe mwanae tabia baada yakugundua kuwa maisha aliyoishi sio nafanya jitihada kumbadilisha mwanae inakuwa noma jamaa zake wanamuona msaliti
 
Back
Top Bottom