monopoly inc
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 5,256
- 11,377
Ivi mleta mada unawajua watu wenye ngozi nyeusi au unawaskia tu, hapa hapa bongo tu chukulia mfano lemutuz angekuwa ndo Mo dewji ingekuwa vipi
Hivi jamani inakuwaje Marekani black wengi wakifanikiwa lazina wapewe Kesi za Kubaka?? Kama ni hela mbona whites pia wana hela lakini hawapewi hizo kesi?? Alafu mpaka documentary za kuwachafua blacks zinatengenezaa.. R kelly kapewa kesi..Chriss brown nae ana kesi.. Michael Jackson alipewa kesi... Watu wengi kibao wanapewa za kubaka huko Marekani nadhani kwenyr hili kuna UBAGUZI NA UDHALILISHAJI WA ASILI YA MWAFRIKA... Figisu zipo kila konaa aisee bongo unapigwa uraia mbele ni kubaka tuu...
Sent using Jamii Forums mobile app
We mjinga soma uelewe kinachozungumzwa. Wabongo kwa kurukia post maanina kama kande ya unyagoAcha kutetea ujinga kama wanafanya hivo wasishitakiwe kisa wanamafanikio
Pathetic
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe umeelewa nini kwenye iyo post ambacho mimi sijaelewa embu eleza apaWe mjinga soma uelewe kinachozungumzwa. Wabongo kwa kurukia post maanina kama kande ya unyago
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu vipi 17 yrs mkikubaliana kugegedana?Ipo vihi mkuu. Mara ngingi hawa blacks wanatokea kwenye jamii masikini so wanapoanza kupata fame na dough huanza kupata fanbase na humo hata whites wapo.
Kama ujuavyo mambo ya wanamuziki hawa hasa wakiume fans wao wengi ni wasichana/wanawake na wengi ni underage. Hivyo wengine huweza kutafuta opportunity ya kukutana na idol wao na wanapofanikiwa kukutana mitego na nini (inajua tena sisi wanaume hisia zetu hazinaga akili).
Mwisho wa siku unakuta mtu amebanjua underage, hata akama alibakiza weeks kutimiza umri wa utu uzima. Mara nyingi pia inawezekana ni kazi ya rivals au familia masikini wanao spot potential ya kukulostisha au kupiga pesa kwa mgongo wako. Wanakupandikizia underage. Unajiachia nae hata kwa miaka alafu baadae anakuja ku come out na kufungua mashtaka ya statutory rape.
Sexual activity na minors (age 12-16 years) hata kama alikubaliana na wewe hiyo ni statutory rape kwasababu anakua bado hajafikia age of consent.
Au aibu aliyoipata Rick Ross dhidi ya Mark Zuckerberg.. !!!
Watu weusi ni walow standards ila wakitokea wachache wa kupanda profile bado wanakuwa Malimbukeni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia hio sheria unayolilia isianze na wewe maana unaonekana mdau kabisa kwa jinsi ulivyotoa ratiba nzima.Kwetu huku wamebakwa wengi kweli, maana asilimia kubwa ya wasichana huanza ngono kabla ya 18, yaan mtu anajivutia gheto anakula na watu wanajua lakini hapewi kesi ya kubaka mpaka apewe mimba ndo tunaanza kutafuta polisi kuna haja ya kubadili sheria
Sent using Jamii Forums mobile app
HAIKATAZWI KUSHTAKIWA KAMA UMEFANYA KOSA LKN SWALI NI JE, KWANN WOTE WAWE WATU WEUSI NA MPKA DOCUMENTARIES ZAO ZINATENGENEZWAAAcha kutetea ujinga kama wanafanya hivo wasishitakiwe kisa wanamafanikio
Pathetic
Sent using Jamii Forums mobile app