Black Americans na Kubaka

Black Americans na Kubaka

Anguko la wanaume siku zote ni mwanmke.uishakuwa juu epuka wanawake wasiofaaa. Imeandikwa hadi kwenye biblia. Watu wakitaka kuluangusha watakutumia mwanamke na badae huyo mwanamke atatumiwa kukuangusha. Akina tiger woods charie sheen bill.cosby... ukiwa na influence wanwake wanajileta tu...aise kaaa mbali sio kwamba wanakupenda ila wanataka kitu kwako..ulivokuwa maskini walikuwa wapi?ndo wapo tunapofeli.... wenzetu wazee wa zamani wakipata vijihela kidogo wanakimbilia kuoa na kama wewe kijana ukifanikiwa kidogo wanakukimbilia kulushauri.oa..baki na mke wako na familia...anguko la mwanaume ni mwanamke
 
Watu weusi ni Wajinga wajinga tu siku zote.

Hata umaarufu walionao baadhi ya watu weusi unatokana na kuiga mambo kwa wazungu.

Ndio maana watu weusi sio wagunduzi wala waasisi wa mambo ya kuukomboa au kuusaidia ulimwengu.

Wengi ni Wajinga tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Au aibu aliyoipata Rick Ross dhidi ya Mark Zuckerberg.. !!!

Watu weusi ni walow standards ila wakitokea wachache wa kupanda profile bado wanakuwa Malimbukeni.
Ivi mleta mada unawajua watu wenye ngozi nyeusi au unawaskia tu, hapa hapa bongo tu chukulia mfano lemutuz angekuwa ndo Mo dewji ingekuwa vipi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi jamani inakuwaje Marekani black wengi wakifanikiwa lazina wapewe Kesi za Kubaka?? Kama ni hela mbona whites pia wana hela lakini hawapewi hizo kesi?? Alafu mpaka documentary za kuwachafua blacks zinatengenezaa.. R kelly kapewa kesi..Chriss brown nae ana kesi.. Michael Jackson alipewa kesi... Watu wengi kibao wanapewa za kubaka huko Marekani nadhani kwenyr hili kuna UBAGUZI NA UDHALILISHAJI WA ASILI YA MWAFRIKA... Figisu zipo kila konaa aisee bongo unapigwa uraia mbele ni kubaka tuu...

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kutetea ujinga kama wanafanya hivo wasishitakiwe kisa wanamafanikio

Pathetic

Sent using Jamii Forums mobile app
We mjinga soma uelewe kinachozungumzwa. Wabongo kwa kurukia post maanina kama kande ya unyago

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Harvey Weinstein, Charlie Sheen, Kevin Spacey, James Franco, n.k. wote hao si weusi na wamehusishwa na tuhuma za ubakaji au unyanyasaji wa kijinsia.

Kimsingi wanaume wengi sana hatuna elimu ya ubakaji. Juzi tu ndio nimejifunza kuwa manzi asiposema NDIO kwa tendo, hata kama hatasema HAPANA, huo unahesabika kama ubakaji. Hata akiwa mkeo.
 
Ipo vihi mkuu. Mara ngingi hawa blacks wanatokea kwenye jamii masikini so wanapoanza kupata fame na dough huanza kupata fanbase na humo hata whites wapo.

Kama ujuavyo mambo ya wanamuziki hawa hasa wakiume fans wao wengi ni wasichana/wanawake na wengi ni underage. Hivyo wengine huweza kutafuta opportunity ya kukutana na idol wao na wanapofanikiwa kukutana mitego na nini (inajua tena sisi wanaume hisia zetu hazinaga akili).

Mwisho wa siku unakuta mtu amebanjua underage, hata akama alibakiza weeks kutimiza umri wa utu uzima. Mara nyingi pia inawezekana ni kazi ya rivals au familia masikini wanao spot potential ya kukulostisha au kupiga pesa kwa mgongo wako. Wanakupandikizia underage. Unajiachia nae hata kwa miaka alafu baadae anakuja ku come out na kufungua mashtaka ya statutory rape.

Sexual activity na minors (age 12-16 years) hata kama alikubaliana na wewe hiyo ni statutory rape kwasababu anakua bado hajafikia age of consent.
Mkuu vipi 17 yrs mkikubaliana kugegedana?
 
Leo tena wanataka mpaka Kufukua Mwili wa Michael Jackson eti duuh[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji26][emoji26] Hili haliko sawaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwetu huku wamebakwa wengi kweli, maana asilimia kubwa ya wasichana huanza ngono kabla ya 18, yaan mtu anajivutia gheto anakula na watu wanajua lakini hapewi kesi ya kubaka mpaka apewe mimba ndo tunaanza kutafuta polisi kuna haja ya kubadili sheria

Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia hio sheria unayolilia isianze na wewe maana unaonekana mdau kabisa kwa jinsi ulivyotoa ratiba nzima.
 
Back
Top Bottom