Black Americans wanaondoka Tanzania na hizi ndio sababu zao

Unawamilikisha ardhi kwa masharti maalum mojawapo ni kuwaruhusu kwa miaka 50 km wanavyofanya ghana

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Miaka 50! Hahahhahahha...una utani we mzee...!

Unafikiri hiyo Miaka 50 ikifika, hawataongeza muda?????

Yaani hiyo haipo, hatuwapi ardhi yetu.
 

Mmmh, katafakari upya mr Mbowe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…