Hawezi kumiliki ardhi kama sio RAIA hiyo ikowaziWaende zao! Wamiliki ardhi kwani ya baba zao? Hawajui watu huku wanazaliwa kila siku na ardhi itafika mahali itakuwa ni ya kunyang’anyana!
Zanzibar washajiongeza mgeni anaweza kumiliki nyumba ...fumba town karibia nyumba zote zimenunuliwa na wageniArdhi nimali ya jamhuri ya muungano wa Tz nenda tu zanzibar hapo uone kama utapata ardhi kama sio mzenji, waondoke tu tofauti na hapo wakodishe izo ardhi kwa mkataba na nafikiri hata nchi nyingine hufanya ivyo ,ardhi ingekua inuzwa tu kama kambale maana yake wangechangishana wanakuja nunua mkoa mmoja wanafanya empire yao utawafanza nini so ivo yani
Mbona ghana, nigeria, gambia, rwanda uganda kenya kote ni ruksa mgeni kumiliki ardhi na bado hakujajaaAkili gani hizi?
Uuze ardhi kwa wageni?
Kwa njaa za Watanzania si utakuja kukuta nchi nzima wenyeji tumekuwa wapangaji?
Unawamilikisha ardhi kwa masharti maalum mojawapo ni kuwaruhusu kwa miaka 50 km wanavyofanya ghanaUpumbavu wa kuwamilikisha ardhi ni hatuwezi kuukubali.
Kumbe ndio maana wateja wangu siowaoni. Kheeee.Kama mnavyojua hawa black Americans walikuja kwa kasi sana hapa Tanzania ila kwa sasa wanaondoka kwa wingi na hizi ndio baadhi ya sababu wanazozitoa
..ishu ya viza, kupata permit imekuwa ni ishu mpaka inawabidi kila baada ya miezi mitatu watoke nje ya nchi ili wagongewe viza nyingine.
..mazingira magumu ya kufanya biashara, hii ni kuanzia mchakato wa usajili wa kampuni kwani sheria za nchi zinataka lazima awe na partner mzawa sasa hii wengi hawaitaki kwa sababu hawaoni mantiki ya kuingia ubia na mtu ambae humjui ikizingatia wao ni wageni kwenye hii nchi
..
Kutoruhusiwa kumiliki ardhi, Hii ni moja ya factor kubwa inayowafanya waghairi kuendelea kuishi Tanzania kwa sababu wengi wao wamekuja africa wakiwa na long term plans sasa wanashindwa kuipa nafasi Tanzania sababu hawawezi kumiliki ardhi .. sasa wanauliza watajicommit vip kuishi Tanzania kwa muda mrefu ikiwa hawana access ya ardhi badala yake wanachagua nchi km gambia, ghana na rwanda.
Nenda zanzibar uulize nyumba za fumba town zinamilikiwa na nani? Halafu urudi hpa kutujuzaArdhi nimali ya jamhuri ya muungano wa Tz nenda tu zanzibar hapo uone kama utapata ardhi kama sio mzenji, waondoke tu tofauti na hapo wakodishe izo ardhi kwa mkataba na nafikiri hata nchi nyingine hufanya ivyo ,ardhi ingekua inuzwa tu kama kambale maana yake wangechangishana wanakuja nunua mkoa mmoja wanafanya empire yao utawafanza nini so ivo yani
Bongo nyoso wameamua kusepaKumbe ndio maana wateja wangu siowaoni. Kheeee.
Walishaanza kuniletea pesa hawa majamaa.
Zile nyumba sio ZA Barkhessa?Nenda zanzibar uulize nyumba za fumba town zinamilikiwa na nani? Halafu urudi hpa kutujuza
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Za barkhesa ameingia ubia na wajerumani na karibia nyumba zote zimenunuliwa na wageni maana nyumba ya bei rahisi ni dola 89000Zile nyumba sio ZA Barkhessa?
Kama walikuja Tanzania na "long term plans", basi lazima watakuwa wametafiti aka due diligence kuhusu sheria za umiliki wa ardhi kabla ya kuamua kuja kuwekeza. Huwezi kuja nchi ya Afrika kwa nia ya kuhamia halafu hujui sheria za umiliki wa ardhi kwenye nchi husika zikoje. Wewe ni mpumbavu.Kama mnavyojua hawa black Americans walikuja kwa kasi sana hapa Tanzania ila kwa sasa wanaondoka kwa wingi na hizi ndio baadhi ya sababu wanazozitoa
..ishu ya viza, kupata permit imekuwa ni ishu mpaka inawabidi kila baada ya miezi mitatu watoke nje ya nchi ili wagongewe viza nyingine.
..mazingira magumu ya kufanya biashara, hii ni kuanzia mchakato wa usajili wa kampuni kwani sheria za nchi zinataka lazima awe na partner mzawa sasa hii wengi hawaitaki kwa sababu hawaoni mantiki ya kuingia ubia na mtu ambae humjui ikizingatia wao ni wageni kwenye hii nchi
..
Kutoruhusiwa kumiliki ardhi, Hii ni moja ya factor kubwa inayowafanya waghairi kuendelea kuishi Tanzania kwa sababu wengi wao wamekuja africa wakiwa na long term plans sasa wanashindwa kuipa nafasi Tanzania sababu hawawezi kumiliki ardhi .. sasa wanauliza watajicommit vip kuishi Tanzania kwa muda mrefu ikiwa hawana access ya ardhi badala yake wanachagua nchi km gambia, ghana na rwanda.
WNamiliki nyumba si ardhi ardhi unalipia kodiNenda zanzibar uulize nyumba za fumba town zinamilikiwa na nani? Halafu urudi hpa kutujuza
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Labda atujuzefact,kwani watanzania ni rahisi kupata ardhi marekani,?
Je Rwanda wana ardhi ya kuwapa?Kama mnavyojua hawa black Americans walikuja kwa kasi sana hapa Tanzania ila kwa sasa wanaondoka kwa wingi na hizi ndio baadhi ya sababu wanazozitoa
..ishu ya viza, kupata permit imekuwa ni ishu mpaka inawabidi kila baada ya miezi mitatu watoke nje ya nchi ili wagongewe viza nyingine.
..mazingira magumu ya kufanya biashara, hii ni kuanzia mchakato wa usajili wa kampuni kwani sheria za nchi zinataka lazima awe na partner mzawa sasa hii wengi hawaitaki kwa sababu hawaoni mantiki ya kuingia ubia na mtu ambae humjui ikizingatia wao ni wageni kwenye hii nchi
..
Kutoruhusiwa kumiliki ardhi, Hii ni moja ya factor kubwa inayowafanya waghairi kuendelea kuishi Tanzania kwa sababu wengi wao wamekuja africa wakiwa na long term plans sasa wanashindwa kuipa nafasi Tanzania sababu hawawezi kumiliki ardhi .. sasa wanauliza watajicommit vip kuishi Tanzania kwa muda mrefu ikiwa hawana access ya ardhi badala yake wanachagua nchi km gambia, ghana na rwanda.
Ni kweli wamekuja sanaa, jana pia nimewana watatu tofauti, na niliwaona Palm village, Baada ya uzi uliodawi kuna wimbi la wamarekani nilijaribu kuakikisha nikagundua kweli. Lakni lakuamihia kwingine inabidi nichimbe tenaKama mnavyojua hawa black Americans walikuja kwa kasi sana hapa Tanzania ila kwa sasa wanaondoka kwa wingi na hizi ndio baadhi ya sababu wanazozitoa