Black Americans wanaondoka Tanzania na hizi ndio sababu zao

Kama mnavyojua hawa black Americans walikuja kwa kasi sana hapa Tanzania ila kwa sasa wanaondoka kwa wingi na hizi ndio baadhi ya sababu wanazozitoa

..ishu ya viza, kupata permit imekuwa ni ishu mpaka inawabidi kila baada ya miezi mitatu watoke nje ya nchi ili wagongewe viza nyingine.

..mazingira magumu ya kufanya biashara, hii ni kuanzia mchakato wa usajili wa kampuni kwani sheria za nchi zinataka lazima awe na partner mzawa sasa hii wengi hawaitaki kwa sababu hawaoni mantiki ya kuingia ubia na mtu ambae humjui ikizingatia wao ni wageni kwenye hii nchi

..
Kutoruhusiwa kumiliki ardhi, Hii ni moja ya factor kubwa inayowafanya waghairi kuendelea kuishi Tanzania kwa sababu wengi wao wamekuja africa wakiwa na long term plans sasa wanashindwa kuipa nafasi Tanzania sababu hawawezi kumiliki ardhi .. sasa wanauliza watajicommit vip kuishi Tanzania kwa muda mrefu ikiwa hawana access ya ardhi badala yake wanachagua nchi km gambia, ghana na rwanda.

Hii nchi inaelekea pabaya wasiposhituka.. kwanini wasiruhusu uraia pacha!! visa/Permitt wageni wanapata tabu sana, masharti kibao na hela wanatozwa ndefu mno..kumbuka kwa sasa Tanzania ni mojawapo ya nchi kumi katika Afrika ambazo bado haziruhusu uraia pacha, na huenda sasa zimebaki sita, kama Ethiopia na Cameroon wamesharuhusu. Kati ya nchi 54 za Afrika, 44 zimeruhusu uraia pacha.. huku wanasubiri nini! Hawajui kuwa ina faida kubwa mno kwetu kama wazawa!
 
Hii ni kweli kabisa, nna ndugu zangu nawasiliana nap walitoka marekani na ijumaa hii wanaelekea Misri.
 
Kuuza? Yaani uuzie ardhi ya Tanzania kwa mgeni?

Mkuu Saguda47, kwani kuna shida gani kuwauzia!! Sisi bado tuko nyuma na kaubinafsi kanaturudisha nyuma kimaendeleo.

Kuhusu visa/Permitt wageni wanapata tabu sana, masharti kibao na hela wanatozwa ndefu kwa muda mfupi sana..kumbuka kwa sasa Tanzania ni mojawapo ya nchi kumi katika Afrika ambazo bado haziruhusu uraia pacha, na huenda sasa zimebaki sita, kama Ethiopia na Cameroon wamesharuhusu. Kati ya nchi 54 za Afrika, 44 zimeruhusu uraia pacha.. huku wanasubiri nini! Hawajui kuwa ina faida kubwa mno kwetu kama wazawa!
 
Kama mnavyojua hawa black Americans walikuja kwa kasi sana hapa Tanzania ila kwa sasa wanaondoka kwa wingi na hizi ndio baadhi ya sababu wanazozitoa

..ishu ya viza, kupata permit imekuwa ni ishu mpaka inawabidi kila baada ya miezi mitatu watoke nje ya nchi ili wagongewe viza nyingine.

..mazingira magumu ya kufanya biashara, hii ni kuanzia mchakato wa usajili wa kampuni kwani sheria za nchi zinataka lazima awe na partner mzawa sasa hii wengi hawaitaki kwa sababu hawaoni mantiki ya kuingia ubia na mtu ambae humjui ikizingatia wao ni wageni kwenye hii nchi

..
Kutoruhusiwa kumiliki ardhi, Hii ni moja ya factor kubwa inayowafanya waghairi kuendelea kuishi Tanzania kwa sababu wengi wao wamekuja africa wakiwa na long term plans sasa wanashindwa kuipa nafasi Tanzania sababu hawawezi kumiliki ardhi .. sasa wanauliza watajicommit vip kuishi Tanzania kwa muda mrefu ikiwa hawana access ya ardhi badala yake wanachagua nchi km gambia, ghana na rwanda.
Vp Anold Shwaz- Nigga alikuja.....
 
Mleta mada wewe ni black American?

Hili hata mimi nimeliona, kwa upande wa wageni wanapata shida mno, visa/permitt kupata ni shida, na isitoshe ada zake ziko juu mno. Sasa huu si urafiki/uwekezaji bali ni ukandamizaji, na ndio maana wengi wanashindwa na kuamua kwenda nchi zingine kama kenya, rwanda, south afrika n.k huko hakuna masharti na wanakirimiwa sana.. kumbuka kwa sasa Tanzania ni mojawapo ya nchi kumi katika Afrika ambazo bado haziruhusu uraia pacha, na huenda sasa zimebaki sita, kama Ethiopia na Cameroon wamesharuhusu. Kati ya nchi 54 za Afrika, 44 zimeruhusu uraia pacha.. huku wanasubiri nini! Hawajui kuwa ina faida kubwa mno kwa sisi wazawa kama wataruhusu!
 
Ardhi Ni mali ya Tanzania, nchi haitakufa. Wewe mwenzetu unamiliki ardhi marekani?

Basi ondoa marekani, kuna wageni wengi kutoka nchi mbali mbali wanaishi huku miaka na miaka. Sijui hili unalizungumziaje!
 
Kama mnavyojua hawa black Americans walikuja kwa kasi sana hapa Tanzania ila kwa sasa wanaondoka kwa wingi na hizi ndio baadhi ya sababu wanazozitoa

..ishu ya viza, kupata permit imekuwa ni ishu mpaka inawabidi kila baada ya miezi mitatu watoke nje ya nchi ili wagongewe viza nyingine.

..mazingira magumu ya kufanya biashara, hii ni kuanzia mchakato wa usajili wa kampuni kwani sheria za nchi zinataka lazima awe na partner mzawa sasa hii wengi hawaitaki kwa sababu hawaoni mantiki ya kuingia ubia na mtu ambae humjui ikizingatia wao ni wageni kwenye hii nchi

..
Kutoruhusiwa kumiliki ardhi, Hii ni moja ya factor kubwa inayowafanya waghairi kuendelea kuishi Tanzania kwa sababu wengi wao wamekuja africa wakiwa na long term plans sasa wanashindwa kuipa nafasi Tanzania sababu hawawezi kumiliki ardhi .. sasa wanauliza watajicommit vip kuishi Tanzania kwa muda mrefu ikiwa hawana access ya ardhi badala yake wanachagua nchi km gambia, ghana na rwanda.

Kwenye issue ya mazingira mabovu ya biashara nakubaliana na wewe.... ila kwenye issue ya ardhi waambie ardhi ni mali ya Serikali. Wanaweza kukodishiwa wakaitumia ila sio kuibinafsisha

Halafu Hebu tuambie walikua wangapi? Maana hadi umewajengea thread sio mchezo
 
Watanzania sijui niseme baadhi ama wengi wetu tuna kaubinafsi flani hivi kwa wageni.. badala kuwasemea vizuri kwa serikali iwaangalie na kuwaondolea masharti yanayowashinda.
 
Kama mnavyojua hawa black Americans walikuja kwa kasi sana hapa Tanzania ila kwa sasa wanaondoka kwa wingi na hizi ndio baadhi ya sababu wanazozitoa

..ishu ya viza, kupata permit imekuwa ni ishu mpaka inawabidi kila baada ya miezi mitatu watoke nje ya nchi ili wagongewe viza nyingine.

..mazingira magumu ya kufanya biashara, hii ni kuanzia mchakato wa usajili wa kampuni kwani sheria za nchi zinataka lazima awe na partner mzawa sasa hii wengi hawaitaki kwa sababu hawaoni mantiki ya kuingia ubia na mtu ambae humjui ikizingatia wao ni wageni kwenye hii nchi

..
Kutoruhusiwa kumiliki ardhi, Hii ni moja ya factor kubwa inayowafanya waghairi kuendelea kuishi Tanzania kwa sababu wengi wao wamekuja africa wakiwa na long term plans sasa wanashindwa kuipa nafasi Tanzania sababu hawawezi kumiliki ardhi .. sasa wanauliza watajicommit vip kuishi Tanzania kwa muda mrefu ikiwa hawana access ya ardhi badala yake wanachagua nchi km gambia, ghana na rwanda.
Kumiliki ardhi? Ni nchi gani wanaruhusiwa? Useless, good riddance!
 
Kipi bora? Kuwa na ardhi kubwa isiyo na matumizi au kuwauzia baadhi ya watu waiendeleze na kutengeneza ajira?
Kutengeneza ajira au kunyanyasa watanzania
Kwa kuwaadhibu wakiingilia ardhi zao
Na kutuagizia mbwa wao watutafune waendeeeeeee tuu
 
Back
Top Bottom