- Thread starter
- #21
Kumilikishwa hta wewe mtanzania serikali haiwezi kukumilikisha ndio maana unailipia kodiWewe ukienda marekani watakuuzia ardhi? Seema wapewe ardhi kwaajili ya uwekezaji na si kumilikishwa
Kumilikishwa hta wewe mtanzania serikali haiwezi kukumilikisha ndio maana unailipia kodiWewe ukienda marekani watakuuzia ardhi? Seema wapewe ardhi kwaajili ya uwekezaji na si kumilikishwa
Usiwe kama Teja akiwa na alosto tu basi anauza vitu vya ndaniKipi bora? Kuwa na ardhi kubwa isiyo na matumizi au kuwauzia baadhi ya watu waiendeleze na kutengeneza ajira?
Wao hawana ardhi america ni km ugenini kwao wanapangishwa hta sisi tunaweza kuwapa ardhi kwa masharti maalumKwan ardhi Yao sisi tunaruhusiwa kumiliki? Kama no why wataje ya kwetu?
Wewe wasema!!Usiwe kama Teja akiwa na alosto tu basi anauza vitu vya ndani
Jesus akiwa kwa pilato au siyo?[emoji23][emoji23][emoji23]Wewe wasema!!
Yaani uuze nchi (ardhi) kwa manufaa ya nchi?Shida ipo wapi ikiwa inatumika kwa maslahi ya nchi?
Hayo masharti maalumu ndo yanawashinda ndo mana warudi huko walikopangishwaWao hawana ardhi america ni km ugenini kwao wanapangishwa hta sisi tunaweza kuwapa ardhi kwa masharti maalum
Mkuu isije ikawa unaona wazigua-wamarekani wanaokuja kwa wingi Tanzania ukadhani ni black American, sababu kuna wazigua toka Somalia wapatao 10,000 waliopelekwa marekani na kupewa uraia, na wanakuja tz kwa vile asili yao babu zao ni hapa tanzania.Km mnavyojua hawa black americans walikuja kwa kasi sana hpa Tanzania ila kwa sasa wanaondoka kwa wingi na hizi ndio baadhi ya sababu wanazozitoa
..ishu ya viza, kupata permit imekuwa ni ishu mpaka inawabidi kila baada ya miezi mitatu watoke nje ya nchi ili wagongewe viza nyingine.
..mazingira magumu ya kufanya biashara, hii ni kuanzia mchakato wa usajili wa kampuni kwani sheria za nchi zinataka lazima awe na partner mzawa sasa hii wengi hawaitaki kwa sababu hawaoni mantiki ya kuingia ubia na mtu ambae humjui ikizingatia wao ni wageni kwenye hii nchi
..
Kutoruhusiwa kumiliki ardhi, Hii ni moja ya factor kubwa inayowafanya waghairi kuendelea kuishi Tanzania kwa sababu wengi wao wamekuja africa wakiwa na long term plans sasa wanashindwa kuipa nafasi Tanzania sababu hawawezi kumiliki ardhi .. sasa wanauliza watajicommit vip kuishi Tanzania kwa muda mrefu ikiwa hawana access ya ardhi badala yake wanachagua nchi km gambia, ghana na rwanda.
Tatizo lako mtazamo wako ume base kwenye emotional na sio factsYaani uuze nchi (ardhi) kwa manufaa ya nchi?
Ni sawa na kusema " nimemkabidhi mke wangu kwa jirani kwa manufaa ya familia yangu"[emoji23][emoji23]
Masharti maalum hta kupata permit inakuwa ishu! Tanzania km kweli tunataka nchi yetu ipige hatua ni lazima tufungue uchumi wetu kwa mtu yoyote mwenye capital aje awekezeHayo masharti maalumu ndo yanawashinda ndo mana warudi huko walikopangishwa
Kasome Sheria ya ardhi ya JMT!Tatizo lako mtazamo wako ume base kwenye emotional na sio facts
za kiuchumi
Mi naangalia faida za kiuchumi tutakazozipata km nchi
Mfano migodi ya dhahabu walivyopewa wazungu wanachimba dhahabu wanalipa mrahaba serikalini + kodi na pia wanatoa ajira ivo yaani
Emotional= adjective [emoji777]Tatizo lako mtazamo wako ume base kwenye emotional na sio facts
za kiuchumi
Mi naangalia faida za kiuchumi tutakazozipata km nchi
Mfano migodi ya dhahabu walivyopewa wazungu wanachimba dhahabu wanalipa mrahaba serikalini + kodi na pia wanatoa ajira ivo yaani
Ardhi yetu bado ni kubwa sana hata wakija million 2 bado itabaki ya kutosha tu!
Hao ni YouTubers na hizo ni mbwembwe tu. Tangu lini YouTuber anayesafiri akasettle sehemu moja.Km mnavyojua hawa black americans walikuja kwa kasi sana hpa Tanzania ila kwa sasa wanaondoka kwa wingi na hizi ndio baadhi ya sababu wanazozitoa
..ishu ya viza, kupata permit imekuwa ni ishu mpaka inawabidi kila baada ya miezi mitatu watoke nje ya nchi ili wagongewe viza nyingine.
..mazingira magumu ya kufanya biashara, hii ni kuanzia mchakato wa usajili wa kampuni kwani sheria za nchi zinataka lazima awe na partner mzawa sasa hii wengi hawaitaki kwa sababu hawaoni mantiki ya kuingia ubia na mtu ambae humjui ikizingatia wao ni wageni kwenye hii nchi
..
Kutoruhusiwa kumiliki ardhi, Hii ni moja ya factor kubwa inayowafanya waghairi kuendelea kuishi Tanzania kwa sababu wengi wao wamekuja africa wakiwa na long term plans sasa wanashindwa kuipa nafasi Tanzania sababu hawawezi kumiliki ardhi .. sasa wanauliza watajicommit vip kuishi Tanzania kwa muda mrefu ikiwa hawana access ya ardhi badala yake wanachagua nchi km gambia, ghana na rwanda.
Nimekumbuka Professor Joshua Mkhululi.... ( Ken Edwards)Masharti maalum hta kupata permit inakuwa ishu! Tanzania km kweli tunataka nchi yetu ipige hatua ni lazima tufungue uchumi wetu kwa mtu yoyote mwenye capital aje awekeze
Kwa hali ilivyo sasa ni wazungu pekee yao wenye mitaji ya mabilioni ndio wanaoweza kuja kuwekeza tanzania
Hatuwataki watu wenye mitaji ya kati waje wawekeze tumeweka masharti magumu mno dhidi yao