WOS,
Kumbe unaweza kazi ya ka inzi eeeeh! Ngoja tuikalie kitako.....then will be back to comment!
Wandugu imenichukua like six clean hours kuisoma vizuri kabisa hii document, na nilitaka nipate muda wa kutosha kufanya hivyo ili angalau nipate kuelewa zaidi ya kilichokuwa kinaendelea pale 607 kati ya victims na Babu Seya and others!
Kwa bahati nzuri, japokuwa mimi si mwanasheria nimeelewa vizuri sana hii judgement kiasi cha kuhama upande kutoka ''DW'' to ''PW''!
Nafikiri wengi wetu kipindi kile uchaguzi wa kuegemea upande wa Babu Seya ulitokana sana na ushabiki wa kimuziki zaidi kuliko facts za kilichotokea pale 607, wengi wetu tulikuwa hatumjui Babu Seya et al kuhusu in and out ya maisha yake zaidi ya kuwaona kny Luninga hasa pale walipotoa kibao cha Seya.....hapo walitukamata wengi sana!
Nikija kwenye judgement yenyewe, kwa tuliosoma hii kitu yote mtagundua kuwa sirahisi kufabricate story hii kwa kweli kwa sababu kwanza umri wa watoto wale ni mdogo sana kuwatengezea story then waireproduce tena kwa kuhojiwa na prosecutor...si kitu rahisi vile.....! Pili maelezo ya accussed yalikuwa yanajichanganya sana....hasa kuhusu scene 607, Albert, Elombee, bibi (mama yake Babu Seya) na mtoto....pale ambapo hawa watu wanaelezwa pamechanganywa sana! Tatu, babu seya na accussed wengine wanakiri wenyewe kuwa hawanabifu na mkubwa yeyote, wala polisi na tena Babu seya anasema hakuwahi kutembea na mke wa prosecutor yeyote na kwanza uume wake hauerect vizuri.....so hii inrule out issue ya kisasi, zaidi ya hayo wanakiri kuwa askari aliyewapekua alikuwa ''mstaarabu tu''...kama tulivyoaminishwa kabla! Nne watoto wale wote kuanzia Aza, Gift, Rehema, Asia etc walitoa ushahidi wa set ya chumba cha mauaji....kwamba kulikuwa na wadrobe, droo (ya pesa), bed, godoro.....(godoro moja kitandani na lingine limeegeshwa ukutani), pia kuta zote zilikuwa zimening'inizwa suits.....! na kwamba baada ya kumaliza kufanya ufirauni ule (hopeful mkupuo mmoja), walioshwa....na kabla ya kuvaa nguo zao waliogeshwa!
Jambo lingine ni kuwa oneday wakiwa (Gift and others) chumbani walivurumishwa na anayesadikiwa kuwa mpenzi wake na Papii Kocha...Maryam, akawatandika watoto wale na mianzi......!
Ukija kny vipimo vilivyofanywa na Dr. Petronila...utakuta diagnosis kwa kila mmoja ilikuwa either anus and vigina sexed au anus perforated au vigina with discharge au sphincter muscles lax etc......yaani shida tupu!
Defense advocate wao Nyange utetezi wake ulishindwa nguvu vibaya na evidence zilizoletwa pale na upande wa prosecutors isipokuwa kwa accussed namba tano....ambaye ni mwalimu pale Mashujaa na ndiye pekee aliyekuwa arquited kny kesi hii!
So my conclusion na msimamo wangu Babu Seya and CO walistahili ile hukumu...they molested, sodomised, brutalised, raped....etc the kids....Mimi ningekuwa ni hakimu....ningeamuru kukatwa their private parts kwanza kabla ya kuanza kutumikia jela ya maisha.....na pia mali zao zote walizochuma kipindi kile zitaifishwe na zitumike kuwatunza wale watoto walioharibikiwa sana kisaikolojia.....!
Na sijui mimi ningekuwa mzazi wa wale watoto ningefanyaje.....ngoja nisiseme tu...ila poleni sana wazazi wa watoto wale....uchungu wa mwana aujua mzazi kwa kweli!
Wakati nasoma ile document nilikuwa nakaangalia kabinti kangu ka 3yrs na kukaonea huruma sana...! nilikuwa nafikiri mambo ambayo katakumbana nayo in my absence wakati kapo na strangers huko shule, dukani, kisimani,kwa bibi yake, kny michezo yao, etc! Nikaona changamoto kubwa niliyonayo kukalinda kwa nguvu zote na kukapa uhuru wa kuniambia kila kitu hata hata huko nje wakatishie vipi nikajengee confidence ya kujakusema tu...vinginevyo kanaweza kakanifanya ''nikajimkwawa'' bure!
Pia nikawa nafikiria kina dada wazuri, warembo waliojazaa kutoka pande za Africa Sana...Ambience, Kilitime, Maeda, Club Bistro, mpaka kule kati Ohio, Jolly, Mgomeni kwa macheni mpaka kule kanda ya kati Uwanja wa fisi....mpaka kule Achimwene, Sewa, Kimboka ,Rosana pale Buguruni.... ambao miili yao iko anytime ready kwa ajili ya midudu ya aina ya Babu Seya, wako tayari hata tu wakinunuliwa bia moja...wako tayari hata kuwageuza kama kumla samaki, wanasali mchana kutwa wakiomba mijitu kama Babu Seya ijitokeze wawamegee uroda uliotukuka....lakini wapi, wao mbio na mijasho yao ya muziki kuvikandamiza vimalaika vya Mungu bila hata chembe ya huruma.....unyama gani ule jamani! Wote ni wadhambi lakini kwa hili hapana tutatoa kibanzi hiki japo kuwa kwetu kuna maboriti....potelea mbali!
Again thanks WOS kwa kuleta hii kitu hapa...umenihamisha kambi...na kuniongezea challenge ya kukalinda kabinti kangu!