Black man survives Corona infection in China

Waiting for Ndalichako's reply.
 
kishindo cha awamu ya tano
 
Tangia uzaliwe umewahi kusikia black man or women amelezwa hospital kwa talizo la mafua?

Ugonjwa wa gono ni kwa binadamu lakini kwa mbwa gono ndiyo uzima wake.

Hako kakorona kwa mtu kweusi hakana madhara ni kachumba tu hako.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ametuvusha hongera 2020 kanyaga twende!
 
Nashangaa hadi sasa wakameroon hawajatuma salamu za pongezi kwa mheshimiwa rais John pombe magufuli, jitihada zake zimesaidia mtu wao kupona corona!!!! Haya ma fly over na madege mnadhani ni mchezo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pongeza kwa serikali ya john kwa kufanikisha hilo jambo
 
Acheni kupotosha.
Hadi sasa survivors wa Corona virus wako zaidi ya 6,000. Sio kwamba ni huyo Mwafrika tu aliepona. And it makes sense kuwa wengi waliokufa na hata wengi wa waliopona pia (kati ya hao 6,000) ni wachina wenyewe kwa sababu janga limetokea kwenye nchi yao.
Hapo there is nothing special
 

Kwa hiyo vijana wetu waTz waliopo China ndio basi tena hakuna haja ya kurudi home?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…