Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunajionea live.
Ukiangalia kwa jicho la tatu utaona anae mdharau mtu mweusi ndie huyo huyo yupo kwenye nchi ya watu weusi.wakuu hivi shida ni kuwa na ngozi nyeusi au kukulia kwenye nchi za watu weusi?
hatari sana aiseeUkiangalia kwa jicho la tatu utaona anae mdharau mtu mweusi ndie huyo huyo yupo kwenye nchi ya watu weusi.
Tena yupo madarakani kwa kutumia nguvu ya silaha ili wawaweke hao watu weusi chini kimaisha na kifikra.
Akimuona mweusi alie taka kuleta maendeleo kwa weusi wenziwe watamuuwa mifano yake ipo. Angeulizwa Botha kama hayo kweli Madela alimuweka kizuizini kwanini?.
Jicho la tatu ukiangalia kama afrika kungekuwa na maendeleo nani angelikwenda ulaya na America?. Jamii ya watu weupe wanatumia nguvu kubwa kukandamiza jamii ya watu weusi ili kuwepo juu.
Gaddafi aliposema ataleta sarafu ya Afrika akiwa kama rais wa umoja wa Afrika kule Addis Ababa kifo kilimfika kutoka kwa hao hao wanao wadharau weusi. Wakijua siku watu weusi wakijiweza nao ndio anguko lao.
Sababu ya kuwepo United Nation,IMF na ICC ni kucontrol mataifa mengine hasa ya ngozi tofauti na nyeupe. Mfano Malaysia walitaka kuunda ndege yao wenyewe ikahitaji udhamini wa mkopo.hatari sana aisee