Black soldier flies - Tanzania

Black soldier flies - Tanzania

CHE GUEVARA-II

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2010
Posts
571
Reaction score
156
Habari zenu wadau?

Naomba kujua, hapa Tanzania ni wapi kuna project ya kuzalisha black sodier fly larva kwa ajili ya chakula cha kuku au samaki? Au hao flies wanapatikana humu Tanzania, wakoje?

Please. Malila na wengine okoeni jahazi!
 
Last edited by a moderator:
Habari zenu wadau?

Naomba kujua, hapa Tanzania ni wapi kuna project ya kuzalisha black sodier fly larva kwa ajili ya chakula cha kuku au samaki? Au hao flies wanapatikana humu Tanzania, wakoje?

Please. Malila na wengine okoeni jahazi!
vip umefikia wap mkuu maana me mwenyew nawatafuta sana hawa Black Soldier Fly plz naomba nijuze
 
Kuna mahali nimesoma juu ya ufugaji wa funza Kibaha, lilikuwa gazeti la Mwananchi.
 
Back
Top Bottom