then you get to be proud of me the boss.mimi wanachoniuudhi blak women wengi ni
inferior comlex waliyonayo mbele ya wanawake wazungu au waarabu i hate that....
napenda wanawake weusi walio na nyodo na kujisikia wazuri kuliko wazungu na waarabu
Somehow this is True....we are less attractive but we are so very beautiful than white women.
attraction and beauty are two different things!!
I will never undervalue my nature Mu-sir,but eyes can judge better...nimesema issue ya beauty,wanawake weusi kweli wako beautiful,ila kwenye attractiveness wanawake weupe wana attract kwa haraka zaidi....
Sikubaliani na hii Michelle.
hata attractiveness, kwa ngozi nyeusi iko juu zaidi ya ngozi nyeupe. unaona hata mivao yao? utakuta mdada mweupe kavaa ovyo lakini akapita hapo wala watu wasitetemeke, check hiyo nguo ivaliwe na mdada mweusi, kila mtu anageuka.
Somehow this is True....we are less attractive but we are so very beautiful than white women.
attraction and beauty are two different things!!
FL kwa Marekani ili muziki wake uuze lazima afanye hivyo.Jamani kwani huyu mama Jayz anatumia mkorogo mbona naona tofauti kubwa sana kwenye hizi picha