Blackberry Bold 9780 for only TZS 220,000/=

baraka607

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Posts
844
Reaction score
168
white na black zote zinakwenda kwa laki mbili na ishirini.

Call: 0655003510
 

Attachments

  • IMG-20130910-WA0003[1].jpg
    31.9 KB · Views: 67
  • IMG-20130910-WA0004[1].jpg
    58.7 KB · Views: 67
  • IMG-20130910-WA0009[1].jpg
    45.8 KB · Views: 63
  • IMG-20130910-WA0010[1].jpg
    40.8 KB · Views: 65
  • IMG-20130910-WA0011[1].jpg
    35.5 KB · Views: 63
...hivi tunaweza kutambuaje simu feki...? maanake jambo hili linanipa wakati mgumu sana wakati wa kununua simu...
 
...hivi tunaweza kutambuaje simu feki...? maanake jambo hili linanipa wakati mgumu sana wakati wa kununua simu...

Simu za blackberry ni rahisi tu ndugu . Ila android kidogo znanpa shda ata mm .
 
Kivp mkuu tuambie na sisi kuhusu BB

Ofcoz sio expert sana ! Ila nkiona tu ntajua hi ni ya mexico au Hungary , au China. Org za Mexico ukitoa battery ukirudisha lazima itawaka kwa kundika blackberry then screen itakua black na kuna bar itatokea apo ikijaa taratibu . Za Hungary hizi zina waka kawaida tu ila zinachukua muda nazo . For more detail emb ulizen kule kwa watu wa Technology JF kuna watu wanaweza kuelezea vizuri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…