Jamani tujenge utamaduni wa kukubali kukosolewa na kukosoana La sivyo hata uko kwenye siasa mtawashangaa kina JK kumbe hata sisi tunaowakosoa tuko hivyo hivyo.
Zing kiwi kisicho eleweka?.
1.Nimesema mara kibao mimi sio ngwini wa mobile tech
2.Natumia Samsung Smart phone yenye 1ghz procesor inayotumia Android kupitia voda kwa chanel ya BB net yake iko faster kama ulaya yaani uki bonya ni hapo hapo inafungua hivyo una fungua utube na kuona online tv in real time.
3.Nikasema natumia Samsung wave video yake ni HD nilikuwa sijaona HD kwenye simu nyingine mpaka leo nilipo sikia na Nokia wapo.
Kwenye hizo hoja za msingi, je uwongo wangu ni upi?.
Sasa naomba kumalizia hoja ya mwanzilishi.
Unaweza kuitumia BB yako kama modern kwenye laptop au pc yako na iko faster kuliko moderm yoyote.
Kwa kuanzia konect BB yako kwenye on line laptop au pc kwa kutumia blue tooth au usb.
Compur itaseach na kuintal drives kwenye desk top yako.
Ukiopen utaona inteface ya simu yako kwenye laptop yako au pc. Just connect.
Angalizo. Intenet ya BB ni bure, ukiitumia BB yako kama moderm sio bure!