Blackmailed, please help!

na usirudie tena mdogo wangu. sometimes we learn the hard way
 
na usirudie tena mdogo wangu. sometimes we learn the hard way

Nimekoma kaka. Yaani nimekoma kabisa huu upuuzi. Nilikuwa nimeshaacha siku nyingi, lakini hii ilikuwa tu mabaki ya matokeo ya ile tabia. Yaani hawana adabu hata kidogo hawa, akigundua unaonea aibu au una guilty feelings anagonga hapohapo! Kanitesa akili zaidi kuliko hata hela alizochukua.
 
huyu CD wako kwani mlikuwa na mkataba ..makubaliano yenu ilikuwa unamchota na kumlipa kisha unaachana nae
mwambie mazoea na wewe basi mbona kanakung'ang'ania kama luba
 

yaani amwambie mke kuwa alikuwa anatembeaga na changudoa? sounds silly.
 
huyu CD wako kwani mlikuwa na mkataba ..makubaliano yenu ilikuwa unamchota na kumlipa kisha unaachana nae
mwambie mazoea na wewe basi mbona kanakung'ang'ania kama luba

Ukweli dadangu hatukuwa na mkataba na huyo mtu. Nilikuwa nazuka viwanja hivyo, nacheza mziki wa bendi, nakunywa halafu saa ya kuondoka nang'oa dada poa mmoja, tukimaliza tunaishiana, hakuna cha zaidi. Nilichokosea mimi nafikiri ni tabia ya kumchukua huyohuyo karibu mara zote nilipochota demu sehemu hiyo, hadi akanizoea. Ilifikia hatua tulikuwa hatuongei tena bei, yaani kiasi kinaeleweka hata hakuna mjadala wa mapatano, bei imeshazoeleka.

Nilipoacha hiyo tabia nikawa siendi tena kiwanja kile, na hatukuonana tena almost 2 yrs. Sasa nilivyohamia makazi mapya nikakuta jirani ninayeshea nae ukuta ni yeye! Akaanza kunifanyia vituko nilivyoeleza mwanzo.

Lakini naona sasa shida labda imeisha maana nilivyomtoa baru jana kawa mpole kweli.
 
pole sana,huyo dada kashagundua wewe uko weak...
We siku moja mkaribishe ndani
halafu mshushie vibao vya nguvu.....
Ikiwezekana na mikanda umcharaze....
Utakuwa umemaliza kesi.....
Kuwa strong.....

Hapa unanunua kesi......Penzi na changudoa huwa ni la mkataba, yaani huduma ya mapenzi kwa malipo. Kama ulikuwa unalipia huduma bila kukopa sioni tatizo liko wapi. Nashauri yafuatayo:
  1. Usimpe tena pesa
  2. Mweleze kuwa tabia hiyo umeacha na kwamba mheshimiane
Nadhani ukiweka msimamo wazi baada ya muda, somo litaeleweka. Ila usirogwe kuja kukumbushia penzi na huyu Binti.
 
pole sana mpige stop mazoea na wewe huyo dada navyoona akili yake sio nzuri
 
m2b, wewe kiboko...yaaani ulikuwa unakuwa unamchukua hadi akawa kama gf kabisa?! mimi nilidhani wale unatakiwa kupitia mara moja tu, next taimu unatafuta mwingine! ilikuwaje mazee ukamzowea huyu kihivyo? mkopo au mavituz mkubwa?! pole lakini ...swaaaaali la ndani sana hili
 
Ndugu yangu pole mie ilinikuta hali tofauti kidogo mara mbili.
Mara ya kwanza nikiwa ni miaka27 ndugu yangu alinipeleka mitaa ya Ohio tukachukua wanawake, wale kina dada wakatupeleka mtaa Wa garden avenue. Huduma tulipata ingawa kwa karaha. Namaliza nakuja kugundua saa yangu ya 45000 imeibiwa na mkanda sina. Baada ya siku 3 Yule dada kapita mtaa Wa Mfaume nikiwa na baba yangu mzazi. Alivyokuwa anakuja nilistuka hadi nikapiga kelele. Baba yangu aliniuliza una mfahamu nilikata katakata.
Kesi ya pili Yule dada akanikuta zanzibar hotel pale kisutu alikuwa na mimba. Akatuma mhudumu mwite Yule kaka na mwangalia anae niita ni yule dada ila ana bonge la mimba. Nikamfuata kwa siri ili bibie asijue. Aka hitaji sh 20000 ili asimwambie mpenzi wangu kuwa mimba aliyobeba ni yakwangu kwakweli roho ili paa hata kuuliza vitu alivyoni ibia nikashindwa na siku ile nilitumia zana nilikuwa na uhakika mimba sio yangu. Nilitoa hela na kumsihi asije niharibia kwa mpenzi wangu mpya. Hawa wadudu usije jaribu hawafai
 
umeanza kwenda kiwanja kile?
 

That's what JF is all abt.Entertain,teach and help ones in need.Thanx for sharing.
 

Dah mkuu Mabondo pole sana! Inaelekea hukumkamua kisawasawa huyu bibie. Yaaani wee unakukuruka ye bado anapata akili ya kukuchapa saa na mkanda????? Hii hakika ni dizaini ya wale ambao we unahangaikaaaa, yeye anasuka nywele! :whoo:

 

Mtafune tena!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…