Elections 2010 Blandes kachukua Karagwe

Elections 2010 Blandes kachukua Karagwe

senator

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2007
Posts
1,924
Reaction score
66
Kwa mujibu wa TBC taifa Radio..Mhe Blades amechukua kiti cha Jimbo la Karagwe kwa kumshinda mgombea wa chadema.Amepata kura 32,000+ na mpinzani kapata kwenye 20++++
CCM wameendelea kuchakachua tu.
 
Tumechoka kilichobaki nin kuandamana tu
 
Inavyoelekea majimbo kwa vyama vya upinzani ndio basi hali hii inasikitisha kuandamana sio dawa deal unamvizia msimamizi mmoja unamchinja wengine watatia akili :A S angry:
 
nimehuzunika sana,:doh:
kwa habari nilizopata nasikia magari ya ffu yanaenda mengi pale halmashauri.barabara haipitiki.
 
Inavyoonekana jana ndo ilikuwa mwisho upinzani kupata viti?
 
Matokeo yote ya kuanzia jana ni mchakachuo kwa kwenda mbele! CCM wamekuwa waroho kama mapaka shume!:A S angry: shame on u!
 
tahadhari kwa kuamsha hisia za mauaji,unaweza kuishia the hague!
 
nimepatwa na nini? najaribu kuanzisha topic lakini sioni option hiyo!! au kuna mkono wa mtu? hebu nisaidieni wana jf
 
Blandes yuko safi, bado kijana ni msomi, na anaona mbali. Anastahiri
 
Back
Top Bottom