SOLD: Blanket zito na jipya kabisa nauza kwa bei poa

SOLD: Blanket zito na jipya kabisa nauza kwa bei poa

Status
Not open for further replies.

pettymarcel

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2012
Posts
2,161
Reaction score
880
Husika na kichwa hapo juu nauza hili blanket zito na kubwa kwa bei poa ya shiling elfu 50 sababu za kuuza kuna jingine nililetewa jepesi nikalipenda zaidi sasa ili inanibidi niuze coz mkoa niliopo sio wa baridi kiasi hiki plz blanket lipo Mwanza popote Tz nitakutumia WhatsApp me 0763772636
19b93cc960c92867350de7a54ab022df.jpg
d5390c939699597f04762341ba5bbd3f.jpg
karibuni
 
Blanket blanket hii ni best quality hii bei ni sawa na bure
 
Huna ndugu wa karibu umpe?
Hata kama vyuma vimebana muwe na mipango mingine
Samahani lakini!!
 
Hilo blanket umejifunikia na mchepuko mara ngapi? Huna ndugu wa karibu umpe?
Hata kama vyuma vimebana muwe na mipango mingine,itafika mahali mtauza hadi chupi.
Samahani lakini!!
Acha dharau ndugu yangu sio kila kitu ukoment wewe hizo nguo za mitumba unazovaa hao wazungu wameshazimbia Mara ngapi? Wewe hao ndugu zako wanakufa njaa huko kijijini umeshawasaidia kwa lipi? Nimekwambia ni jipya kama lingekuwa used ningesema pia kwani kuna shida gani? Na Mimi samahani lakini nilikuwa na kutania karibu ununue
 
Chini ya hapo, huuzi mkuu?
 
Jipatie side bed za kisasa kabisa manyoya kwa elfu 35 tu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom