SOLD: Blanket zito na jipya kabisa nauza kwa bei poa

SOLD: Blanket zito na jipya kabisa nauza kwa bei poa

Status
Not open for further replies.
Gris kuipata saivi ni kazi tutauza mpaka ndoo za maji za majumbani
 
Acha dharau ndugu yangu sio kila kitu ukoment wewe hizo nguo za mitumba unazovaa hao wazungu wameshazimbia Mara ngapi? Wewe hao ndugu zako wanakufa njaa huko kijijini umeshawasaidia kwa lipi? Nimekwambia ni jipya kama lingekuwa used ningesema pia kwani kuna shida gani? Na Mimi samahani lakini nilikuwa na kutania karibu ununue
Ni ngumu kuamin uyasemayo japo ni kweli lugha ya biashara ungesema nauza mablanket na bei hii hapa, atakayekuja anataka mengi unamwambia limebaki 1 tuu.
 
Ni ngumu kuamin uyasemayo japo ni kweli lugha ya biashara ungesema nauza mablanket na bei hii hapa, atakayekuja anataka mengi unamwambia limebaki 1 tuu.
Hapana siwezi kudanganya ninachosema ni kweli na Mungu ni shahidi halijatumika kabisa lingekuwa used ningesema mbona nauza makapet na kama ni used huwa namwambia mteja ukweli huo ndo ukweli amini usiamini
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom