pettymarcel
JF-Expert Member
- Jun 17, 2012
- 2,161
- 880
Asante kiongoz hiyo hapana20k tufanye biashara.
Acha dharau ndugu yangu sio kila kitu ukoment wewe hizo nguo za mitumba unazovaa hao wazungu wameshazimbia Mara ngapi? Wewe hao ndugu zako wanakufa njaa huko kijijini umeshawasaidia kwa lipi? Nimekwambia ni jipya kama lingekuwa used ningesema pia kwani kuna shida gani? Na Mimi samahani lakini nilikuwa na kutania karibu ununueHilo blanket umejifunikia na mchepuko mara ngapi? Huna ndugu wa karibu umpe?
Hata kama vyuma vimebana muwe na mipango mingine,itafika mahali mtauza hadi chupi.
Samahani lakini!!
Chini ya hapo, huuzi mkuu?Acha dharau ndugu yangu sio kila kitu ukoment wewe hizo nguo za mitumba unazovaa hao wazungu wameshazimbia Mara ngapi? Wewe hao ndugu zako wanakufa njaa huko kijijini umeshawasaidia kwa lipi? Nimekwambia ni jipya kama lingekuwa used ningesema pia kwani kuna shida gani? Na Mimi samahani lakini nilikuwa na kutania karibu ununue
Una bei gani kiongozChini ya hapo, huuzi mkuu?
Imekuwa jumla ngapi?Nimeongeza ten chief
30000Imekuwa jumla ngapi?
Hapana asante hii no30000