Criss Alex
Senior Member
- Apr 18, 2012
- 111
- 10
SawaGris kuipata saivi ni kazi tutauza mpaka ndoo za maji za majumbani
Ni ngumu kuamin uyasemayo japo ni kweli lugha ya biashara ungesema nauza mablanket na bei hii hapa, atakayekuja anataka mengi unamwambia limebaki 1 tuu.Acha dharau ndugu yangu sio kila kitu ukoment wewe hizo nguo za mitumba unazovaa hao wazungu wameshazimbia Mara ngapi? Wewe hao ndugu zako wanakufa njaa huko kijijini umeshawasaidia kwa lipi? Nimekwambia ni jipya kama lingekuwa used ningesema pia kwani kuna shida gani? Na Mimi samahani lakini nilikuwa na kutania karibu ununue
Hapana siwezi kudanganya ninachosema ni kweli na Mungu ni shahidi halijatumika kabisa lingekuwa used ningesema mbona nauza makapet na kama ni used huwa namwambia mteja ukweli huo ndo ukweli amini usiaminiNi ngumu kuamin uyasemayo japo ni kweli lugha ya biashara ungesema nauza mablanket na bei hii hapa, atakayekuja anataka mengi unamwambia limebaki 1 tuu.