mayoscissors
JF-Expert Member
- Nov 24, 2009
- 975
- 478
Una blanket chapa mtuWengine hata hatuna hayo ya manyoya
Mhh sjaelewaUna blanket chapa mtu
Wanasema kuwa uyaoneDah hatari sana mkuu yaani leo ndo nimejua kwanini mke anaitwa jiko.
Watu mna vitukommmh blanketi manyoya?,,,hapana aisee labada Kipochi manyoya
Una blanket chapa mtu
Dah hatari sana mkuu yaani leo ndo nimejua kwanini mke anaitwa jiko.
Mi najifunika blanket chapa mtu
Blanket chapa mtu ndo mwisho wa matatizo