mayoscissors
JF-Expert Member
- Nov 24, 2009
- 975
- 478
Nadhani wengi wenu leo hamkai mbali na blanketi la manyoya,kweli si kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una blanket chapa mtuWengine hata hatuna hayo ya manyoya
Mhh sjaelewaUna blanket chapa mtu
Wanasema kuwa uyaoneDah hatari sana mkuu yaani leo ndo nimejua kwanini mke anaitwa jiko.
Watu mna vitukommmh blanketi manyoya?,,,hapana aisee labada Kipochi manyoya
Una blanket chapa mtu
Dah hatari sana mkuu yaani leo ndo nimejua kwanini mke anaitwa jiko.
Mi najifunika blanket chapa mtu
Blanket chapa mtu ndo mwisho wa matatizo