Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,258
Jamani tafadhali msije mkadhani ninaleta mada ya kitoto BUT ni kitu kimenisumbua kidogo......niliwahi kusikia dada zangu wakisema kwamba ukiwa unaanza matiti yale madogo (saa sita?) ni vyema ukavaa sidiria ili yasije kuwa makubwa, ama badu baadae nikasikia kwamba ukivaa sidiria ndiyo yanakuwa makubwa zaidi........naomba msaada lipi ni lipi nipate cha kumshauri binti yangu na wengine....nasisitiza naomba ushauri wa dhati............