Blazia (Sidiria) Inafaa Kuvaliwa Kuanzia Umri Gani?

Blazia (Sidiria) Inafaa Kuvaliwa Kuanzia Umri Gani?

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
Jamani tafadhali msije mkadhani ninaleta mada ya kitoto BUT ni kitu kimenisumbua kidogo......niliwahi kusikia dada zangu wakisema kwamba ukiwa unaanza matiti yale madogo (saa sita?) ni vyema ukavaa sidiria ili yasije kuwa makubwa, ama badu baadae nikasikia kwamba ukivaa sidiria ndiyo yanakuwa makubwa zaidi........naomba msaada lipi ni lipi nipate cha kumshauri binti yangu na wengine....nasisitiza naomba ushauri wa dhati............
 
Mkuu sidhani km kuna umri maalum wa kuvaa sidiria ila umbile la mwanao litajisemea lenyewe. Likisha sema mtaftie visidiria vidogo ambavyo havitaharibu shep ya maziwa yake. Navojua sidiria zenye chuma kwa chini na sponje kwa ndani ni nzuri kwa kumaintain shape ya maziwa. Pia usimpe zinanzobana saaana coz zitamntyima uhuru ukizingatia bado mdogo. But kuna vishimizi vizuri kwael sijui km bado vipo manake vinasehemu ya mzaiwa kwa jns vilivyo tengenezwa hivyo navyo nimbadala kwa wale ambao hawana maziwa makubwa.
 
mi kiukweli sizipendi
hadi nizae labda ndo nitavaa
 
Nadhani imekaa vyema japo ruksa kwa wengine kujazia but ni shule tosha
mkuu sidhani km kuna umri maalum wa kuvaa sidiria ila umbile la mwanao litajisemea lenyewe. Likisha sema mtaftie visidiria vidogo ambavyo havitaharibu shep ya maziwa yake. Navojua sidiria zenye chuma kwa chini na sponje kwa ndani ni nzuri kwa kumaintain shape ya maziwa. Pia usimpe zinanzobana saaana coz zitamntyima uhuru ukizingatia bado mdogo. But kuna vishimizi vizuri kwael sijui km bado vipo manake vinasehemu ya mzaiwa kwa jns vilivyo tengenezwa hivyo navyo nimbadala kwa wale ambao hawana maziwa makubwa.
 
Sidiria ikivaliwa mapema husababisha matiti kuanguka mapema kwa sababu misuli yake haitaimarika. wakati maziwa yanakuwa yanahitaji shimizi ili kuyasetiri lakini yaachwe yacheze yenyewe ili kuimarisha misuli yake. yakishakuwa makubwa ndio yavalishwe sidiria.
 
hapa umekazia the 2nd school of thought, asante sana
 
duh mkuu unisamehe na mimi huenda kweli nimeingia chaka?????? si haba tunaweza kuuliza mods wakapost kunakohusika lakini nilidhani nahitaji mchango wa mawazo kwa dhati kabisa , huenda nilikua ambitious sana............samehe 7 x 70
Mkuu Amavubi, samahani mkuu, ni jukwaa sahihi kweli kwa mada hii?
 
mtoto wa kike akisha balehe mnunulie shimizi tu avae ila usimpe sidiria kwani atakuwa na kandambili.
Ila km yameanza kutokeza tu na ni makubwa sana (hii hutokana na maumbile) mruhusu avae shimizi kwa muda, baadae mtafutie sidiria ambayo haitakuwa imembana ili yawe huru. Maana wengine wanakuwa na manyonyo makubwa yanayocheza sana hadi kuwa kero anapotembea au kukimbia na hvyo ni vizuri akawa na sidiria kupunguza kucheza kwa hayo manyonyo :glasses-nerdy:
 
nje ya mada kidogo ivi naomba kuuliza kubalehe inatumika hadi kwaw.wke? i mean kubalehe na kuvunja ungo ni the same thing? na unaweza kutumia neno kuvunja ungo kwa mwanaume badala ya kebalehe? (kuuliza c ujinga)
 
Back
Top Bottom