mkuu sidhani km kuna umri maalum wa kuvaa sidiria ila umbile la mwanao litajisemea lenyewe. Likisha sema mtaftie visidiria vidogo ambavyo havitaharibu shep ya maziwa yake. Navojua sidiria zenye chuma kwa chini na sponje kwa ndani ni nzuri kwa kumaintain shape ya maziwa. Pia usimpe zinanzobana saaana coz zitamntyima uhuru ukizingatia bado mdogo. But kuna vishimizi vizuri kwael sijui km bado vipo manake vinasehemu ya mzaiwa kwa jns vilivyo tengenezwa hivyo navyo nimbadala kwa wale ambao hawana maziwa makubwa.
Marumia ukipata hivyo vishumizi utani pm
hapa umekazia the 2nd school of thought, asante sanaSidiria ikivaliwa mapema husababisha matiti kuanguka mapema kwa sababu misuli yake haitaimarika. wakati maziwa yanakuwa yanahitaji shimizi ili kuyasetiri lakini yaachwe yacheze yenyewe ili kuimarisha misuli yake. yakishakuwa makubwa ndio yavalishwe sidiria.
ukizaa ndo usivae mana utmnyima mtoto uhuru au kusumbuka wakati ukitaka kumnyonyeshami kiukweli sizipendi
hadi nizae labda ndo nitavaa
mi kiukweli sizipendi
hadi nizae labda ndo nitavaa
Mkuu Amavubi, samahani mkuu, ni jukwaa sahihi kweli kwa mada hii?
kama unegweza kuweka picha nzima ya mwili wako tungekushauri baada ya kukuona........
Mkuu NN upo? nadhani una swali la nyongeza baada ya hili.............
nje ya mada kidogo ivi naomba kuuliza kubalehe inatumika hadi kwaw.wke? i mean kubalehe na kuvunja ungo ni the same thing? na unaweza kutumia neno kuvunja ungo kwa mwanaume badala ya kebalehe? (kuuliza c ujinga)mtoto wa kike akisha balehe mnunulie shimizi tu avae ila usimpe sidiria kwani atakuwa na kandambili.
Ila km yameanza kutokeza tu na ni makubwa sana (hii hutokana na maumbile) mruhusu avae shimizi kwa muda, baadae mtafutie sidiria ambayo haitakuwa imembana ili yawe huru. Maana wengine wanakuwa na manyonyo makubwa yanayocheza sana hadi kuwa kero anapotembea au kukimbia na hvyo ni vizuri akawa na sidiria kupunguza kucheza kwa hayo manyonyo :glasses-nerdy: