Wewe una saa ngapi? Saa sita au saa tisa?
mi kiukweli sizipendi
hadi nizae labda ndo nitavaa
mtoto wa kike akisha balehe mnunulie shimizi tu avae ila usimpe sidiria kwani atakuwa na kandambili.
Ila km yameanza kutokeza tu na ni makubwa sana (hii hutokana na maumbile) mruhusu avae shimizi kwa muda, baadae mtafutie sidiria ambayo haitakuwa imembana ili yawe huru. Maana wengine wanakuwa na manyonyo makubwa yanayocheza sana hadi kuwa kero anapotembea au kukimbia na hvyo ni vizuri akawa na sidiria kupunguza kucheza kwa hayo manyonyo :glasses-nerdy:
kha!itakuwa una chuhu hauna ziwa cause ikiwa saa sita itakulazim uvae kwa kuwa itakuwa tomboa beli hata kwa ofisi utaonekana ka unajiuza vile masaa mengine yote lazima uvae na usipovaa sidiria utavaa shumizi au tops za ndani na kuna wanawake ambao hawana maziwa so hata akizaa hana sababu ya kuvaa sidiria
kwa kiswahili uko sahihi kabisa, sijui kwa kiingereza (sio kizungu) kubalehe ni kwa jinsime na kuvunja ungo ni kwa jinsikenje ya mada kidogo ivi naomba kuuliza kubalehe inatumika hadi kwaw.wke? i mean kubalehe na kuvunja ungo ni the same thing? na unaweza kutumia neno kuvunja ungo kwa mwanaume badala ya kebalehe? (kuuliza c ujinga)
hujapata mtoto utaitafuta shosti kila dkInategemea na maumbile mie namiaka zaidi ya 20 lakini mpaka leo hii sidiria navaa ofisini tu.
Ila siku zote sivai sidiria.
Lakini kuna watu wameanza kuvaa sidiria wapo darasa la 3..
Siyo swala lenye formula ni la kimaumbile zaidi
hujapata mtoto utaitafuta shosti kila dk
binti wa kaike anapobalehe/ kuvunja ungo mwili wake hubadilika kwa kiasi kikubwa. na mabadiliko haya hutegemea maumbile ya kigenetics zaid. nikiwa na maan akwamba kuna mabianti ambao huwa na maumbile makubwa na wengine madogo pia kuna ambao huwa na misuli lain na kuna ambao huwa na misuli migumu.
binti akiwaaota chuchu usimveshe vitu vya kubana kwani kwanza vitamuumiza sana matiti yake. umri ambao binti huota nyonyo huwa anaumwa sana kwani ndani ya titi huwa na uvimbe fulan kama gololi ambao huuma sana kama jipu pengine. hii ni kama vile tezi ambayo ukiibana huweza kumsababishia maumivaua binti huyo.
iwapo sasa binti ana matt makubwa ni bora ukampa shumizi ama kitop lain akavaa kuzuia yasionekane kwenye nguo yaani yasiangaze lakin usimpe brazia kwasababu itambana na kumuumiza.
pia kuna kila sababu ya kuamini kwamba misuli ikibanwa hulegea kwa kukaosa mazoez hivyo anapovaa brazia nyama za matoto hukosa mazoez yatakayoyafanya matt kuwa magumu yaani yasilegee.
NB wapo wengine ambao toka wanazaliwa wazazi wao walisha waharibu matt yaoa kwa kuyakamua wakiwa wachanga na hapo husababisha matti haya kukosa chuchu na hata kulegea mapema. huyakamua kwasababu huwa na maji meupe mithili ya maziwa ndani yake
wanasema wakiyakamua maziwa wakat mchanga wanakata kimzizi cha kuwa na maziwa makubwa.
Kama familia ina watu wenye maziwa makubwa basi kufanya hivyo ni kumsaidia mtoto asiwe na maziwa makubwa ukubwani
Inategemea na maumbile mie namiaka zaidi ya 20 lakini mpaka leo hii sidiria navaa ofisini tu.
Ila siku zote sivai sidiria.
Lakini kuna watu wameanza kuvaa sidiria wapo darasa la 3..
Siyo swala lenye formula ni la kimaumbile zaidi
wanasema wakiyakamua maziwa wakat mchanga wanakata kimzizi cha kuwa na maziwa makubwa.
Kama familia ina watu wenye maziwa makubwa basi kufanya hivyo ni kumsaidia mtoto asiwe na maziwa makubwa ukubwani