Blazia (Sidiria) Inafaa Kuvaliwa Kuanzia Umri Gani?

mimi nnavojua kazi ya sidiria ni ku-support maziwa..sasa kama maziwa yamesimama ipasavyo kwa nini uvalishe siridiria??pale misuli inayoshikilia maziwa itakapochoka unaweza kumuanzishia binti kuvaa sidiria..
 
mi kiukweli sizipendi
hadi nizae labda ndo nitavaa

kha!itakuwa una chuhu hauna ziwa cause ikiwa saa sita itakulazim uvae kwa kuwa itakuwa tomboa beli hata kwa ofisi utaonekana ka unajiuza vile masaa mengine yote lazima uvae na usipovaa sidiria utavaa shumizi au tops za ndani na kuna wanawake ambao hawana maziwa so hata akizaa hana sababu ya kuvaa sidiria
 
i Like this as well
mtoto wa kike akisha balehe mnunulie shimizi tu avae ila usimpe sidiria kwani atakuwa na kandambili.
Ila km yameanza kutokeza tu na ni makubwa sana (hii hutokana na maumbile) mruhusu avae shimizi kwa muda, baadae mtafutie sidiria ambayo haitakuwa imembana ili yawe huru. Maana wengine wanakuwa na manyonyo makubwa yanayocheza sana hadi kuwa kero anapotembea au kukimbia na hvyo ni vizuri akawa na sidiria kupunguza kucheza kwa hayo manyonyo :glasses-nerdy:
 
miaaaaaaaa
mimi nnavojua kazi ya sidiria ni ku-support maziwa..sasa kama maziwa yamesimama ipasavyo kwa nini uvalishe siridiria??pale misuli inayoshikilia maziwa itakapochoka unaweza kumuanzishia binti kuvaa sidiria..
 
kweli kabisa hasa akivaa nguo laini au tisheti za kubana kidogo ataonekana yuko sokoni na sisi wanawake ukiona kama havai sababu saa sita unasema anawaringishia wenye saa 11 jioni.........
kha!itakuwa una chuhu hauna ziwa cause ikiwa saa sita itakulazim uvae kwa kuwa itakuwa tomboa beli hata kwa ofisi utaonekana ka unajiuza vile masaa mengine yote lazima uvae na usipovaa sidiria utavaa shumizi au tops za ndani na kuna wanawake ambao hawana maziwa so hata akizaa hana sababu ya kuvaa sidiria
 
nje ya mada kidogo ivi naomba kuuliza kubalehe inatumika hadi kwaw.wke? i mean kubalehe na kuvunja ungo ni the same thing? na unaweza kutumia neno kuvunja ungo kwa mwanaume badala ya kebalehe? (kuuliza c ujinga)
kwa kiswahili uko sahihi kabisa, sijui kwa kiingereza (sio kizungu) kubalehe ni kwa jinsime na kuvunja ungo ni kwa jinsike
 
Sidiria huvaliwa sio kwa kutoa support tu bali ni kwa ajili ya kupunguza kutingishika wakati wa kutembea, kukimbua nk

Zaidi mi maumbile
 
Inategemea na maumbile mie namiaka zaidi ya 20 lakini mpaka leo hii sidiria navaa ofisini tu.
Ila siku zote sivai sidiria.
Lakini kuna watu wameanza kuvaa sidiria wapo darasa la 3..
Siyo swala lenye formula ni la kimaumbile zaidi
 
kutingisha imekaa kijamii zaidi huenda kussuport
 
Inategemea na maumbile mie namiaka zaidi ya 20 lakini mpaka leo hii sidiria navaa ofisini tu.
Ila siku zote sivai sidiria.
Lakini kuna watu wameanza kuvaa sidiria wapo darasa la 3..
Siyo swala lenye formula ni la kimaumbile zaidi
hujapata mtoto utaitafuta shosti kila dk
 
binti wa kaike anapobalehe/ kuvunja ungo mwili wake hubadilika kwa kiasi kikubwa. na mabadiliko haya hutegemea maumbile ya kigenetics zaid. nikiwa na maan akwamba kuna mabianti ambao huwa na maumbile makubwa na wengine madogo pia kuna ambao huwa na misuli lain na kuna ambao huwa na misuli migumu.

binti akiwaaota chuchu usimveshe vitu vya kubana kwani kwanza vitamuumiza sana matiti yake. umri ambao binti huota nyonyo huwa anaumwa sana kwani ndani ya titi huwa na uvimbe fulan kama gololi ambao huuma sana kama jipu pengine. hii ni kama vile tezi ambayo ukiibana huweza kumsababishia maumivaua binti huyo.

iwapo sasa binti ana matt makubwa ni bora ukampa shumizi ama kitop lain akavaa kuzuia yasionekane kwenye nguo yaani yasiangaze lakin usimpe brazia kwasababu itambana na kumuumiza.

pia kuna kila sababu ya kuamini kwamba misuli ikibanwa hulegea kwa kukaosa mazoez hivyo anapovaa brazia nyama za matoto hukosa mazoez yatakayoyafanya matt kuwa magumu yaani yasilegee.

NB wapo wengine ambao toka wanazaliwa wazazi wao walisha waharibu matt yaoa kwa kuyakamua wakiwa wachanga na hapo husababisha matti haya kukosa chuchu na hata kulegea mapema. huyakamua kwasababu huwa na maji meupe mithili ya maziwa ndani yake
 
wanasema wakiyakamua maziwa wakat mchanga wanakata kimzizi cha kuwa na maziwa makubwa.
Kama familia ina watu wenye maziwa makubwa basi kufanya hivyo ni kumsaidia mtoto asiwe na maziwa makubwa ukubwani
 
Tujue kwanza mkanda wa suruali au sketi unavaliwa baada ya suruali kukubana au kukupwaya!
 
wanasema wakiyakamua maziwa wakat mchanga wanakata kimzizi cha kuwa na maziwa makubwa.
Kama familia ina watu wenye maziwa makubwa basi kufanya hivyo ni kumsaidia mtoto asiwe na maziwa makubwa ukubwani

sio kweli, ndivyo wanavyoamini lkn sio kweli manake kiukweli ni kwamba unapokamua matiti ya mtoto akiwa mchanga basi uumiza misuli ya nyinyi inayohusika na kuyapanguvu matokeo yake huwa mdebwedo kwakulala mapema bila kujaa nyama kwana hayana nguvu.

yaani logic behind ni kama ile ya kuhasi mbuzi mdogo ili awe ndafu so wanachofanya ni kuumiza mirija ya kupitisha mbegu na hivyo uume wake kukosa nguvu ya kusimama.
 
ahahahahahah amu bana...darasa la 3??? mie nadhani inategemea na maumbile na uko wapi...mfano ofisini, chachi lazima uvae bana..ila ukiwa homu full kujiachia kifua kipate japo hewaaa...
Inategemea na maumbile mie namiaka zaidi ya 20 lakini mpaka leo hii sidiria navaa ofisini tu.
Ila siku zote sivai sidiria.
Lakini kuna watu wameanza kuvaa sidiria wapo darasa la 3..
Siyo swala lenye formula ni la kimaumbile zaidi
 
Last edited by a moderator:
wanasema wakiyakamua maziwa wakat mchanga wanakata kimzizi cha kuwa na maziwa makubwa.
Kama familia ina watu wenye maziwa makubwa basi kufanya hivyo ni kumsaidia mtoto asiwe na maziwa makubwa ukubwani

maisha haya bana! Wenzenu wananunua manyonyo kwa hela miingi, nyie mnazuia watoto kuwa na hazina! If you wanna know the value ya nyonyo kubwa lililoanguka, muulize mwanamke alietoka kukatwa nyonyo kwa kansa na anakula mionzi.
 
Binafsi sijawahi kuvaa sidiria na hili jambo hata mie linanichanganya kidogo.
Wengine wanasema ukiyavalia brazia ndo unasababisha yaanguke mapema,
Wengine wanasema ukiyaachia napo yanalegea sana.
Mradi kila mtu na lake mpaka huwa nashindwa nichukue lipi.

Mwalimu gfsonwin ebu tufafanulie zaidi.
Sijakupata vizuri.
 
Last edited by a moderator:
Sidiria au Kanchiri ni nzuri kuvaa,isipokuwa ina wakati wake kuanza kuivaa.Wakat mzuri kuvaa sidiria ni pale matit yanapo zid uzito au kuonesha dalili za kuporomoka.Kwa wale wanao MINYWAMINYWA na KUNYONYWA matit mara kwa mara hupaswa kuvaa sidiria muda mwing Ili Kuepuka matt kuwa NDALA.
Kanchiri au Sidiria husaidia MATT KUTO KULALA 4, 4, 4
,
 
Back
Top Bottom