Bleeding baada ya kujifungua kwa operation

binywa

Member
Joined
May 31, 2012
Posts
18
Reaction score
2
Hallo Wanajamvi habari za jioni. Ni matumaini yangu kuwa hamjambo na mnaendelea vema.
Kuna jambo ambalo linanisumbua sana kwa sasa. Ni miezi miwili na nusu tangu mke wangu alipojifungua na amejifungua kwaa operation.

Lakini tangu alipojifungua damu amekuwa aki- bleed. Wiki mbili zilizopita alipoendaa hospitalini aliambiwa kuwa ana uvimbe kwenye kizazi na akawa amepewa dawa ya kusaidia kukata damu tu.

Sasa ndugu zangu ni jambo ambalo najiuliza je huu uvimbe huwa unasababishwa na nini na madhara yake. na je matibabu yake yanapatikanaje?

Ahsanteni sana
 
mke wangu alipat tatizo kama hilo tulipoenda hosptl tuliambiwa kutakuwa na uchafu ulisahaulika akatakiwa kusafishwa tatizo likaisha
 
Pole sana hayo yatakuwa yalikuwa matatizo ya kiufund kutoka kwa madactari ila unachotakiwa ni kutokukata tamaa kurudi hospitali alikofanyiwa hyo operation na kuwaeleza hilo tatizo tena ni vizuli ukakutana na yule yule aliuekufanyia....operation
 
mke wangu alipat tatizo kama hilo tulipoenda hosptl tuliambiwa kutakuwa na uchafu ulisahaulika akatakiwa kusafishwa tatizo likaisha

mmmh!! Napata shaka na hiki ulichokiandika.
Hivi unajua kwamba kitu chochote kikisahaulika mwilini baada ya masaa 8 kinakuwaje??
Na je hivi unajua kwamba hakuna kitu ambacho ni lazima wakati wa surgery kama usafi na uepukaji wa kutumia kitu ambacho hakihusiki??

Yaani najaribu kuimagine uchafu huo ni upi damu?? Ama mkasi?? Ama ni gloves?? Ama ni kiwembe?? Ama ni pamba?? Uachwe tumboni?? Na dr akwambie ni uchafu ulisahaulika??

Ngoja labda aje dr Riwa na @dr mo watusaidie hapa ila akili imegoma kuamini.
 
Last edited by a moderator:
pole sana hayo yatakuwa yalikuwa matatizo ya kiufund kutoka kwa madactari ila unachotakiwa ni kutokukata tamaa kurudi hospitali alikofanyiwa hyo operation na kuwaeleza hilo tatizo tena ni vizuli ukakutana na yule yule aliuekufanyia....operation
sidhan kama ni matatizo ya kiufundi la hasha.

Yawezekana mama huyu alikuwa na tatizo la fibroid siku nyingi, na madaktari walijua haya ila kwanza walitaka mtoto azaliwe ndipo sasa aanze process za matibabu juu ya hii fibroid. Ni ngumu sana kwa mama kufanyiwa upasuaji wa kumtoa mtoto halafu wakaomtoa na uvimbe hapo hapo nafikir madaktari wa hapa jf watakueleea kwa uzuri zaid. Lkn ikiwa dr ameona kwamba uvimbe upo na ameanza kumpa dawa ni wazi kwamba atataka huo uvimbe u-erode hadi uishe na utakuwa erosion yake huenda sawa na endometrium erosion.

Dawa walizompa nafkiri ni za kufanya shedding ya endometrium ifanyike kwa muda mfupi zaid ili sasa itakapo erode basi iondoe na uvimbe wenyewe.

Mmh!!!!!! Sio dr ila nimejibu tu kwa kuunga mistari ya kilay man zaid Riwa atakusaidia.
 
Last edited by a moderator:
Nenda afanyiwe scan kaone dr mwingine kuna dr wa mambo ya tumbo na mimba pale kwa Dr. Hameer - Fire akawaangalie anaanzaga 9 mchana.

Hii ni kitu muhimu sasa inabidi mjue kama ni damu chafu ilibaki nje ya womb au ni nini tatizo. Ila usipaniki nendeni ataone daktari.
 

uchafu wa damu ndugu, amebreed for 2 months tulipoenda hosptl tukaambiwa inabidi asafishwe baada ya siku 2 toka asafishwe ikakata ila hakuambiwa kama anauvimbe mpaka leo anadunda
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…