binywa
Member
- May 31, 2012
- 18
- 2
Hallo Wanajamvi habari za jioni. Ni matumaini yangu kuwa hamjambo na mnaendelea vema.
Kuna jambo ambalo linanisumbua sana kwa sasa. Ni miezi miwili na nusu tangu mke wangu alipojifungua na amejifungua kwaa operation.
Lakini tangu alipojifungua damu amekuwa aki- bleed. Wiki mbili zilizopita alipoendaa hospitalini aliambiwa kuwa ana uvimbe kwenye kizazi na akawa amepewa dawa ya kusaidia kukata damu tu.
Sasa ndugu zangu ni jambo ambalo najiuliza je huu uvimbe huwa unasababishwa na nini na madhara yake. na je matibabu yake yanapatikanaje?
Ahsanteni sana