Bleeding bila Yai kupevuka

Bleeding bila Yai kupevuka

Mkombozi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2008
Posts
844
Reaction score
476
Wakuu!

Naomba kufahamu.je kuna uwezekano wa mwanamke akawa ana bleeding katika kila mzunguko wake wa period lakini mayai hayapevuki? Naomba msaada wenu kufahamu hili.
 
Wakuu,Naomba kufahamu.je kuna uwezekano wa mwanamke kuwa na bleeding ila mzunguko lakini mayai hayapevuki?Naomba msaada wenu kufahamu hili.

Hili tatzo ni kweli hata mimi limeshawahi kumkuta wife kwamba akiwa ana bleed tu yale mayai yanafunguka sasa anapomaliza lile yai halifungiki mf: kukunja ngumi na kukunjua mkono kwahyo mwanamke hawez ku consive tulipofanya vipimo vya ultra-sound ndo tulilijua hilo kwenye karatasi paliandikwa.

Both ovaris are dilated kama sjakosea coz mi sio dr lkn Dr wangu alikuwa ananiweka darasa kuhusu mwili wa mke wangu. Alituandikia dawa ambayo hata hiyo hosptal haipo nilitafuta kila pharmacy na nkakosa kila phamacy ntakayoingia wanaimbia nije hapa Dar tena na maelezo ya kutosha my Dr akasema isiwe shida akavua gwanda akawa connected na marafki na ma dr wanzie ndo kuzipata kwenye hosptal ya watu wanje doze ilikuwa siku 28 bila kukutana na mkeo kabisaaa doz ilipoisha mambo yote yalikaa sawa!!

Subiri ma Dr waje watakusaidia hata jila Tatizo!
 
Dah bro gody kwa hyo mtu Mwenye hlo tatzo kushika mimba vigumu?
 
Dah bro gody kwa hyo mtu Mwenye hlo tatzo kushika mimba vigumu?

Mkuu kama nilivyotangulia kusema kuwa Mim sio Dr
nilianza kumcheck/kumuhesabia kila ovulation kuanzia mwakajana 7/2012 lkn mpaka nilipokwenda kwa Dr ndo kugundua hilo tatzo!
So siwezi kukupa jibu la maja kwa moja kuwa ndio au hapana
labda tumwite huyu dr MziziMkavu !!
 
Last edited by a moderator:
Dah bro gody kwa hyo mtu Mwenye hlo tatzo kushika mimba vigumu?

Mkuu kama nilivyotangulia kusema kuwa Mim sio Dr
nilianza kumcheck/kumuhesabia kila ovulation kuanzia mwakajana 7/2012 lkn mpaka nilipokwenda kwa Dr ndo kugundua hilo tatzo!
So siwezi kukupa jibu la maja kwa moja kuwa ndio au hapana
labda tumwite huyu dr MziziMkavu !!
 
Last edited by a moderator:
Wakuu,Naomba kufahamu.je kuna uwezekano wa mwanamke kuwa na bleeding ila mzunguko lakini mayai hayapevuki?Naomba msaada wenu kufahamu hili.

Bleeding/menstruation maana yake ni kwamba ukuta wa kifuko cha uzazi unabomoka. Ukuta huu unajengwa kwa action ya hormone ya estrogen na kutokana na mabadiriko ya concentration kati ya estrogen na progesteron at the end of the circle ndio unabomoka. Kwahiyo bleeding haina uhusiano wa moja kwa moja na mayai.

Uhusiano uliopo kati ya ovaries (hizi ndio zinazalisha mayai) na bleeding ni kwamba hormone estrogen inayojenga ukuta wa ndani wa kifuko cha uzazi kwa kiasi kikubwa inatoka kwenye ovaries. Iwapo hormone hii pamoja na progesterone zitaendelea kutoka kama kawaida basi bleeding itakuwepo ila sio lazima iwe regular na pia intensity yake inaweza kuwa tofauti na siku za kawaida.

Hali ya namna hii hutoke sana sana kwa wasichana wanaovunja ungo na kwa akinamama wanaokaribia menopause. Vileviel kuna ugonjwa unaitwa polycystic ovarian syndrom.

Njia mwanamke anayoweza kutumia kujua kama ovulation imetoa au haijatokea ni kupima joto la mwili wake. Joto huongezeka kama degree moja kipindi cha ovulation. Iwapo joto halitaongezeka basi kwa asilimia kubwa inaashiria kuwa ovulation haijatokea.

Tatizo linalohusiana na hali hiyo ni kwamba inakuwa vigumu kupata ujauzito. Iwapo mwanamke amepanga kupata ujauzito kipindi ambacho hatoi mayai na iwapo kipindi hicho kimekaa muda mrefu basi inashauriwa kutumia njia za assisted reproduction.
 
Dah bro gody kwa hyo mtu Mwenye hlo tatzo kushika mimba vigumu?

Ili mtu ashike mimba ni LAZIMA yai likutane na mbegu ya kiume na kurutubishwa. Kama mwanamke hatoi mayai HAWEZI kupata ujauzito kwa njia ya kawaida. Zipo njia za kisasa za kusaidia wanawake wenye matatizo ya namna hiyo ili wapate ujauzito.
 
Samahani Mkombozi Ungeweza ''edit post yako'' maana kama sijaelewa vizuri, Hapo kwenye red pamenifanya nishindwe kuelewa swali vizuri!

Wakuu,Naomba kufahamu.je kuna uwezekano wa mwanamke kuwa na bleeding ila mzunguko lakini mayai hayapevuki?Naomba msaada wenu kufahamu hili.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom