Nashukuru kwa hilo, nadhani una shauri nirudi tena kwenye kituo kurudisha feedbackAlifanyiwa uchunguzi wa kina kabla ya kuwekwa vijiti??? Njia nyingi za uzazi wa mpango hasa vijiti na dawa sio salama kwa kila mwanamke, zinaweza kumsababishia kero na kuharibu kabisa afya yake. Fatilia kwa karibu ikibidi vitoe sio salama sana kiafya.
Nashukuru kwa hilo, nadhani una shauri nirudi tena kwenye kituo kurudisha feedback
Ngoja nichukue hatua mkuuRudi kituoni. Naelewa hawatakubali kirahisi kuviondoa bali watakupa matumaini kuwa hali itakuwa nzuri baadae. Ukweli ni kwamba alitakiwa kuchekiwa kwa undani zaidi ya kupima presha tu kabla hajawekwa na hilo huwa hawalifanyi. Ukiona vipi nenda kwa private kwa dr wa wanawake atamcheki na kukupa ushauri zaidi.
Are you serious....!!??[emoji15] [emoji15]
Si atakufa mkuu ???, tatizo ananyonyesha sasa akifa si tunapata hasara
Yes aliambiwa, je, miongoni mwa hayo ni hii hali ya sasa ?.Muulize mke wako lazima atakwambia kua, alipo chagua njia hiyo ya uzazi wa mpango
Lazima aliambiwa mabadiliko madogo atakayo yapata baada ya kuweka, likiwemo hilo kwamba atakua na mfululizo wa kutokwa na damu ukeni (irregular frequent vaginal bleeding), itaenda hivo hata had mwezi hivi
Inaweza kukata alafu baada ya siku nne tano hiv aka bleed tena
Na pia ikija kukata mazima anaweza akawa anapitisha miezi bila kuziona siku zake kabisa.
Note: kikimletea shida sana, anatakiwa kwenda kubadili njia, na kuanza njia nyingine ya uzazi wa mpango.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes aliambiwa, je, miongoni mwa hayo ni hii hali ya sasa ?.
Nini afanye ku maintain blood maana hukosa nguvu kwa kuwa damu inatoka nyingi mkuu
Nashukuru kwa ushauri mkuuArudi kwenye kituo cha huduma ya afya aliyopatiwa hiyo huduma watamsaidia
Sent using Jamii Forums mobile app
Si atakufa mkuu ???, tatizo ananyonyesha sasa akifa si tunapata hasara