Bleeding kwa muda wa siku 5+ baada ya kuweka vijiti vya uzazi wa mpango

Kwa ushahidi kabisa nilionao:
Nakusihi atoe vijiti vya uzazi,Mpango wa Uzazi una madhara makubwa
1.Inaleta kansa ya kizazi
2.kuondoa uwezo wa kutokushika mimba
3.Excessive bleeding
4.Kuleta Uvimbe tumbo
Haya nimeshuhudia mwaka wa 2018
na Bila matibabu sahihi pale Bugando
na Ushauri mzuri wa Prof.....(Alitoa maelezo ya kitaalamu )
Pale Bugando pengine tungeongea mengine kwa dada yangu!
Tafadhali tafadhali hiki sio cha kubeza.
Nimeandika kifupi,ila wataalamu wana lugha zao ambazo kama hajakuficha basi utabaki salama!
Bora kutumia njia ya Kuvaa kinga,au kunanii nje ilikuzuia mimba lakini VIDONGE na Vijiti vyote vina madhara makubwa

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nashukuru sana
 
Ma Mdogo wangu alipoteza maisha hivi hivi sababu ya vidonge vya uzazi. Hii hainifanyi niamini njia nyingune nje ya vidinge kuwa ni salama. Nilijiapiza sitakuja kutumia njia yoyote ya kisasa ya kupanga uzazi.
Watumiaji nawaona majasiri kweli. Mimi hapana
 
Kwa case ya mleta Uzi, natamani nikushauri muachane na hizo njia ila dah!!! Basi mke arudi tu kituoni ili wambadilishie. Maana Kijiti kimeonekana hakimpendi wifi yetu.
 
Back
Top Bottom