HIYO SIYO NJIA SALAMA HATA KIDOGO, MIMBA NJE NJEIna maana umeshindwa kufata kalenda/kumwagia nje mpaka umpachike vijiti ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilipewa ushauri na wataalam wa afya kuhusu njia hiyo, nikaambiwa kuwa hiyo njia ya vijiti ni simple means not complicating way.Ina maana umeshindwa kufata kalenda/kumwagia nje mpaka umpachike vijiti ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru sanaKwa ushahidi kabisa nilionao:
Nakusihi atoe vijiti vya uzazi,Mpango wa Uzazi una madhara makubwa
1.Inaleta kansa ya kizazi
2.kuondoa uwezo wa kutokushika mimba
3.Excessive bleeding
4.Kuleta Uvimbe tumbo
Haya nimeshuhudia mwaka wa 2018
na Bila matibabu sahihi pale Bugando
na Ushauri mzuri wa Prof.....(Alitoa maelezo ya kitaalamu )
Pale Bugando pengine tungeongea mengine kwa dada yangu!
Tafadhali tafadhali hiki sio cha kubeza.
Nimeandika kifupi,ila wataalamu wana lugha zao ambazo kama hajakuficha basi utabaki salama!
Bora kutumia njia ya Kuvaa kinga,au kunanii nje ilikuzuia mimba lakini VIDONGE na Vijiti vyote vina madhara makubwa
Sent from my iPhone using JamiiForums
HIYO SIYO NJIA SALAMA HATA KIDOGO, MIMBA NJE NJE
Ma Mdogo wangu alipoteza maisha hivi hivi sababu ya vidonge vya uzazi. Hii hainifanyi niamini njia nyingune nje ya vidinge kuwa ni salama. Nilijiapiza sitakuja kutumia njia yoyote ya kisasa ya kupanga uzazi.Kwa ushahidi kabisa nilionao:
Nakusihi atoe vijiti vya uzazi,Mpango wa Uzazi una madhara makubwa
1.Inaleta kansa ya kizazi
2.kuondoa uwezo wa kutokushika mimba
3.Excessive bleeding
4.Kuleta Uvimbe tumbo
Haya nimeshuhudia mwaka wa 2018
na Bila matibabu sahihi pale Bugando
na Ushauri mzuri wa Prof.....(Alitoa maelezo ya kitaalamu )
Pale Bugando pengine tungeongea mengine kwa dada yangu!
Tafadhali tafadhali hiki sio cha kubeza.
Nimeandika kifupi,ila wataalamu wana lugha zao ambazo kama hajakuficha basi utabaki salama!
Bora kutumia njia ya Kuvaa kinga,au kunanii nje ilikuzuia mimba lakini VIDONGE na Vijiti vyote vina madhara makubwa
Sent from my iPhone using JamiiForums
wee naye ni GT???daaa hadi msomaji ndio una ona aibu kama kuna ndezi ndani ya jf!!shame on u