pettymarcel
JF-Expert Member
- Jun 17, 2012
- 2,161
- 880
- Thread starter
- #41
Nichek nipo WhatsApp kwa 0763772636 pamoja na 0713935395
Namba hii siipati whatsapp
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namba hii siipati whatsapp
Aisee jama unafaa kugaua Counterfeit product[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni feki, original manufacturer hawezi kukosea maandishi ya box kizembe hivyo, ukiwa unakagua bidhaa kitu cha muhimu ni uandishi, ukiona makosa jua bidhaa feki
Ni feki, original manufacturer hawezi kukosea maandishi ya box kizembe hivyo, ukiwa unakagua bidhaa kitu cha muhimu ni uandishi, ukiona makosa jua bidhaa feki

Thibitisha ni original product ya kenwood.Njooo WhatsApp nikutumie video ikiwa inasaga vitu vigumu na feedbak za wateja kwa video walionunua kwangu sema huku hakuna opption ya video ningerusha huku ili ujue hujui
Thibitisha ni original product ya kenwood.
China zipo heavy duty blender top quality ila sii kwa bei hiyo ya 145.
Unaweza ingia alibaba ukamwambia mchina unataka blender pc 500 jina andika Jamiiforums, anafyatua mzigo vizuri.
Issue hapa ni quality, ingia website ya kenwood kama utakuta hii bidhaa yako.

OkEndelea ivo Ivo acha sisi tupige kazi boss
So Mbalizi tu ubishi muweke model namba hapa ya hio bidhaa muigugoSawa boss
ukweli mchungu mnoNi feki, original manufacturer hawezi kukosea maandishi ya box kizembe hivyo, ukiwa unakagua bidhaa kitu cha muhimu ni uandishi, ukiona makosa jua bidhaa feki