Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
Asante bosi..ngoja nizitafuteTazama hizi;
1. Locke. Ndani yake yumo Tom Hardy
2. 127 Hours
3. Centigrade.
4. Gravity
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante bosi..ngoja nizitafuteTazama hizi;
1. Locke. Ndani yake yumo Tom Hardy
2. 127 Hours
3. Centigrade.
4. Gravity
Escape from PretoriaNataka series au movie based on true event au story .. iwe crime, upelelezi au yoyote
Nimeona mzee hasa hiyo no escape nimeikubali sanaHahaha umeona mambo yako?
Pamoja boss [emoji110]Nimeona mzee hasa hiyo no escape nimeikubali sana
ok ngoja niitafuteHiyohiyo mkuu... basi tazama PUSH, ndani yupo Captain America.
Nimejaribu kucheki Google sijaona hiyo no escape Hadi kwenye app yangu ya movie VIP utakuwa umekosea Nini jina?Pamoja boss [emoji110]
..Nimejaribu kucheki Google sijaona hiyo no escape Hadi kwenye app yangu ya movie VIP utakuwa umekosea Nini jina?
Asante mkuu.
Green infernoNataka series au movie based on true event au story .. iwe crime, upelelezi au yoyote
Mfano kuna ile muv nimeisahau jina...mdada alikaa baharini siku 45...
Inasemekana ni true story
yap hiyo hiyo...napenda zingine dizain kama hiyo mkuuAdrift
Mzee ushazipakua zile nilizokupatia?Y
yap hiyo hiyo...napenda zingine dizain kama hiyo mkuu
Hi kitu ina mkono?Kwa wapenzi wa Dramas.... here we come!View attachment 1582881
Ni drama hiyo.Hi kitu ina mkono?
SteveMollel umeiona movie ya Mulan?Ni drama hiyo.
Kwa 'mamikono' tazama nilizoandika action.
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
missyrose Umeiona hiyo movie kwenye app ipi ya movie?hiyo no escape ending yake sijaielewa kabisa..
Ndio.SteveMollel umeiona movie ya Mulan?
Pamoja sana mkuu.Mkuu shukran sana