Blinken anasema Marekani haitaingilia siasa za Kenya

Blinken anasema Marekani haitaingilia siasa za Kenya

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632
Blinken amesema ipo tabia mbaya ambapo mataifa makubwa yanapenda kuingilia siasa za nchi nyingine..

Akizungumza jana alipokuwa Afrika Kusini alisema nchi yake haitaingilia masuala ya demokrasi katika nchi ya Kenya na Nigeria. Amesema nchi za Kiafrika zikatae masharti zinazopewa na nchi za kigeni.

Pia ametoa onyo kwa kundi la Wagner, kundi la mamluki wa Kirusi ambalo linafanya shughuli zake Libya,Mali na Jamhuri ya Afrika ya Kati.

Amesema kundi hilo halitambuliwi na Serikali ya Urusi. Linafadhiliwa na matajiri wa Urusi.
 
Back
Top Bottom