umekuwa ukipata rundo la emails usizozitakaka kwenye gmail yako?
hiii huwa inachukiza sana unapopokea emails ambazo hazihusiani na mambo yako kabisa leo nitakufundisha namna rahisi sana ya kuziblock zisikufikie tena.
kama ni mtumiaji wa gmail fuata hatua hizi chache..
1.fungua gmail yako,
2. fungua email usiotaka tena taarifa zake
3. ukiangalia vizuri kuna maandishi yamepigiwa mstari yameandikwa unsubscribe, bonyeza
4. nenda upande wa kulia juu utaona vidoti vinne bonyeza , itatokea menu then bonyeza block.
5.ifute kabisa,
6 fanya hivyo kwa email zote usizozitaka.
kama umeshindwa kuelewa jaribu kucheki video hii utaelewa zaidi
block unwanted emails