Block yangu ya BM150 imekufa, Nataka kuweka ya Yog

Block yangu ya BM150 imekufa, Nataka kuweka ya Yog

devinyo1987

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2021
Posts
268
Reaction score
370
Wakuu habarin.

Block yangu ya pikipiki boxer 150 inatoa moshi sanaa ...sasa fundi kaniambia block imetanuka....sasa nimetafuta spear nimekosa nimepata ya Yog ya kichina for BM 150

Je, ni imara je itafaa?
 
Boxer inataka block yake original tu, ukiweka tofauti haichukui muda. Body parts weka zozote ila sio spare za kwenye engine. Huwa haitaki magumashi
 
Kanunue dukani mbona zipo kibaooooo tu engine block za boxer bm 150
 
Back
Top Bottom