huyu jamaa ndo kihande kabisa. Huwa simwelewi anachambua nn
jaman kuna blog ambazo zinaongoza kupamba wachezaji tofauti na hali halisi jinsi ilivyo au inapamba timu kiasi kwamba kama shabiki unakuwa na mategemeo makubwa kumbe hakuna kitu me naanza na blog ya Salehejembe
hii blog inaongoza kwa kuandika vivumishi kwa wachezaji wa simba na yanga
na ww njoo na blog yenye tabia kama hizi
Shaffih dauda anaongoza kuwapamba wakongojaman kuna blog ambazo zinaongoza kupamba wachezaji tofauti na hali halisi jinsi ilivyo au inapamba timu kiasi kwamba kama shabiki unakuwa na mategemeo makubwa kumbe hakuna kitu me naanza na blog ya Salehejembe
hii blog inaongoza kwa kuandika vivumishi kwa wachezaji wa simba na yanga
na ww njoo na blog yenye tabia kama hizi
Mchambuzi wa mchele huyu.huyu jamaa ndo kihande kabisa. Huwa simwelewi anachambua nn