Blog ambazo zinaongoza kuua mpira wa tanzania

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
7,235
Reaction score
7,392
jaman kuna blog ambazo zinaongoza kupamba wachezaji tofauti na hali halisi jinsi ilivyo au inapamba timu kiasi kwamba kama shabiki unakuwa na mategemeo makubwa kumbe hakuna kitu me naanza na blog ya Salehejembe

hii blog inaongoza kwa kuandika vivumishi kwa wachezaji wa simba na yanga

na ww njoo na blog yenye tabia kama hizi
 
Shaffih dauda anaongoza kuwapamba wakongo
 
Back
Top Bottom