Blog Gani Ipo Active Sana Kuhabarisha Michezo (zaidi soka)?

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
awali nilikua mpenzi sana wa Shafih Dauda

sasa amefifia nimebaki wa Bin Zubeiry na Saleh Jembe

Je Kitaifa kuna Blog nyingine kali zaidi?

Kimataifa Naangali sana

Goal.com ama Live Score

kuna kali zaidi?
 
awali nilikua mpenzi sana wa Shafih Dauda

sasa amefifia nimebaki wa Bin Zubeiry na Saleh Jembe

Je Kitaifa kuna Blog nyingine kali zaidi?

Kimataifa Naangali sana

Goal.com ama Live Score

kuna kali zaidi?
Hata mimi kikwetu kwetu huwa naangalia hizo hizo mbili lakini kidunia naangalia sana livescores kama nikiwa kwenye simu ila nikiwa kwenye pc naangalia espn au lemonsport au frombar kwa ajili ya live streaming.
 
hizi ngeni kwangu itabidi nipakue
 
Ni kweli kikwetu kwetu Bin Zubeiry na Saleh Jembe ndo wamekamata kwa sasa, japo sometym wao kwa wao waga wanapiganaga madongo ukiwafuatilia kwa karibu. Waache mchezo huo. Worldwide kuna xscores.com, nowgoal.com pamoja na hizo nyngne ambazo zimetajwa.
 
wa kikwetu hawa wanajituma sana, Blogers wengine wafuate nyayo zao, Big Up wakuu
Ni kweli kikwetu kwetu Bin Zubeiry na Saleh Jembe ndo wamekamata kwa sasa, japo sometym wao kwa wao waga wanapiganaga madongo ukiwafuatilia kwa karibu. Waache mchezo huo. Worldwide kuna xscores.com, nowgoal.com pamoja na hizo nyngne ambazo zimetajwa.
 
Ni kweli kikwetu kwetu Bin Zubeiry na Saleh Jembe ndo wamekamata kwa sasa, japo sometym wao kwa wao waga wanapiganaga madongo ukiwafuatilia kwa karibu. Waache mchezo huo. Worldwide kuna xscores.com, nowgoal.com pamoja na hizo nyngne ambazo zimetajwa.
hizi za nje ngeni kwangu nashukuru kunihabarisha
 
Katika pita pita yangu mitandaoni nimekutana na blog, adress yake ni "www.simbamakini.com" ambayo inaripoti taarifa za Simba Sc tu. Pia inakuwa updated kila everytime.
Sijajua nani yuko nyuma ya hii blog, ila imenifurahisha sana. Nadhani kipindi hiki tunasubiri website ya club itengenezwe, ni vyema tukawa tunapitia hiyo blog kupata taarifa za uhakika kuhusu timu yetu.

Waisome Amavubi Masuke Freeland grafani11 barafuyamoto Ngarna geniveros Jaslaws Komeo Lachuma na wanamsimbazi wote.
 
Last edited by a moderator:

santeeee
 
Last edited by a moderator:
Mkuu nashukuru kwa taarifa,inapendeza mno kukutana na wadau.
 
mkuu Amavubi huyo mtu nilikuwa namuamini sana lakini sasa hata akichangia kitu cha maana kwenye "sports bar" huwa nachukulia kama utani wa soka tu,
 
Last edited by a moderator:

Mkuu nashukuru sana.

Nilikua natembelea sana Saleh Jembe na Bin zubeiry
 
Obheja sana.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu nashukuru sana.

Nilikua natembelea sana Saleh Jembe na Bin zubeiry

Hata mi nilikua napita sana huko, nilipokutana na hiki kitu nikaona bora kuwajulisha wadau wenzangu ili tuendelee kuhabarika pamoja.
 
Dowload hizi app kwenye simu yako...Futmob....Mirror football.....pia napenda sana kuperuzi telegraph football...hakika watangazaji wengi wa radio na wamiliki wa blog hutoa huko taarifa zao akiwemo Binzubeiry na Saleh Jembe
 
Hiyo tovuti mnasubiri hadi lini?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…