Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,491
- 2,104
hata Makoye Matale, Bantu Lady na Mkolaji ni wenzetu tu hapa najua wapo kwa mkopo Yanga
Nikiota kuwa nimestevenika kwenda Simba kwa mara ya kwanza nitatoka kitandani, nitakwenda kunawa uso baadaye nitarudi kulala. Nikiota mara ya pili, nitaamka na kuoga mwili mzima na kurudi kulala, nikiota mara ya tatu nitaoga tena na kwenda kuketi sebuleni, kama usingizi utanipitia na kuota tena, nitakwenda nje ya nyumba na kukaa kibarazani, endapo nitasinzia na kuota tena nitaingia barabarani na kupiga mchakamchaka hadi asubuhi bila kupumzika na nyumba hiyo nitaiweka sokoni fasta maana tayari itakuwa na nuksi, naamini mikia mtaichangamkia tu.
Siwezi kustevenika kwenda Simba hata siku moja. Mkuu, tutake radhi haraka sana.
CC. Bantu lady na mkolaj
Last edited by a moderator: