Blog za bongo

Blog za bongo

C.T.U

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2011
Posts
5,074
Reaction score
3,743
Wadau habari zenu naomba niulize swali eti hizi bllog za bongo ambazo kila siku zinakuwa nyingi je ni kwamba zinalipa na kama zinalipa how??
na kiwango chake wanaweza kuwa wanaingiza how much per months????
 
Mie naona nyingi ni usharobalo na umbeya tu!
 
Blog ikishakuwa maarufu sana kama ya Michuzi au U-turn, Kampuni zinakuwa zinakulipa kuweka matangazo yao, ndo mana ukifungua mfano blog ya michuzi, mwanzoni utakuta matangazo mengi sana. Ndo kinachomlipa, zaidi ya hapo sidhani.


Il Gambino.
 
shilingi ngapi kwa mwezi?
 
Back
Top Bottom