Elections 2010 Blog za Tanzania Zimehujumiwa

Elections 2010 Blog za Tanzania Zimehujumiwa

Albedo

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2008
Posts
5,558
Reaction score
1,456
wana jamvi naomba kama kuna mtu mwingine anaweza ku access blog za watanzania, for about three days Blog Nyingi zimekuwa hazinguki sijui kwa sababu

Je inawezekana blog za Kibongo zimepigwa Pini?
 
Du haya kaka

Inawezekana ni matatizo yangu

The connection has timed out

The server at rsmiruko.blogspot.com is taking too long to respond.

* The site could be temporarily unavailable or too busy. Try again in a few
moments.

* If you are unable to load any pages, check your computer's network
connection.

* If your computer or network is protected by a firewall or proxy, make sure
that Firefox is permitted to access the Web.
 
Labda tupate na kwa wengine, nimejaribu pia za wengine, Michuzi, Charahani, Francis Godwin haona zinafunguka
 
wana jamvi naomba kama kuna mtu mwingine anaweza ku access blog za watanzania, for about three days Blog Nyingi zimekuwa hazinguki sijui kwa sababu

Je inawezekana blog za Kibongo zimepigwa Pini?

Tatizo la blog za kibongo, zinajazwa graphics nyingi wakati wabongo wengi wanamiliki computer zenye RAM capacity 256MB.
 
after all,blog kama ya issa michuzi itakuboa tu mtumishi,usije haribu siku yako bure.iko very biased na nonsent
 
Tatizo la blog za kibongo, zinajazwa graphics nyingi wakati wabongo wengi wanamiliki computer zenye RAM capacity 256MB.

Mzee unakosea sana kwa hiyo assumption yako.... Kwa miaka hii hakuna PC inayouzwa na RAM below 1GB, zile za zamani pia lazima u upgrade RAM to at least! 512MB ambayo nayo ni tatizo!
Nadhani huyo bwana tatizo lake ni Bandwidth tu!
 
Bandwidth is just another reason.

Mtu mwingine anaweza kuja na sababu nyingine zaidi.

Kwa hiyo ishu ya RAM si ya kupuuza coz everything you see on your screen "MUST" be loaded into RAM
 
Ndege ya Uchumi

zote zinafanya kazi .....itakuwa kuna tatizo kwako
 
Back
Top Bottom