Blogger apewa kipondo

Blogger apewa kipondo

Unaamini kila kitu unachokisoma kwenye hayo mablogu?
sio kila kitu,ila hili na Jestina nimeamini,kiukweli ana mtoto na haishi nae,mwe karne hii ya 21 unazaa mtoto unampeleka kijini kwa wazazi wako?halafu eti star
 
sio kila kitu,ila hili na Jestina nimeamini,kiukweli ana mtoto na haishi nae,mwe karne hii ya 21 unazaa mtoto unampeleka kijini kwa wazazi wako?halafu eti star

Nini kilichokufanya uamini mazima hizo habari za Jestina? Au kwa sababu unamchukia ndo maana uko tayari kuamini lolote lile lililo baya linaloandikwa juu yake?
 
Nini kilichokufanya uamini mazima hizo habari za Jestina? Au kwa sababu unamchukia ndo maana uko tayari kuamini lolote lile lililo baya linaloandikwa juu yake?

Alaaa umeua yaan hutaki aonewe mtu kama mwanasheria unasikiliza pande mbiliii
 
Alaaa umeua yaan hutaki aonewe mtu kama mwanasheria unasikiliza pande mbiliii

Hivi hujui kwamba chuki mtu uliyonayo dhidi ya mtu fulani inaweza ikaghubika kabisa busara zako?

Na matokeo yake ukaanza kuamini kila baya usikialo juu ya huyo mtu na kila zuri ulisikialo ukaanza kulipinga?
 
Hua ni hivyoo siku zote yaan hata uambiwejee utamkandia tu wakati kila mtu ana mazuri yake na mabaya yakee
Sisi binaadamu bana wachache sana huelewaa
 
Wamekapiga na ban masikini duh!!
Pole cocaindiva siku nyingine ukija humu njoo na adabu zote, huku sio Insta!
 
Last edited by a moderator:
Katamu kwakweli..walau kamenipa kicheko after mnuno wa ushindi wa bibi bomba sitti

Hahahaaa eti bibi Bomba nimechekaje?Kajisemea mbuta nanga kuwa km mshindi ndo huyo basi hata yeye angeshiriki angeshinda.!!!
 
Izo ni habar za udaku hakuna ukweli wowote na nyie achen habar za ku copy n paste fanyen umchunguze kwanza na mkome kutoa habari za uongo...
 
Watu wajeuri jamani
mwenzenu kaja na mitusi mitusi yake mmetupa kwenye dustib
tatizo kuna watu wanajiona wanajua sana kutukana
 
Back
Top Bottom