sio kila kitu,ila hili na Jestina nimeamini,kiukweli ana mtoto na haishi nae,mwe karne hii ya 21 unazaa mtoto unampeleka kijini kwa wazazi wako?halafu eti starUnaamini kila kitu unachokisoma kwenye hayo mablogu?
sio kila kitu,ila hili na Jestina nimeamini,kiukweli ana mtoto na haishi nae,mwe karne hii ya 21 unazaa mtoto unampeleka kijini kwa wazazi wako?halafu eti star
Nini kilichokufanya uamini mazima hizo habari za Jestina? Au kwa sababu unamchukia ndo maana uko tayari kuamini lolote lile lililo baya linaloandikwa juu yake?
Alaaa umeua yaan hutaki aonewe mtu kama mwanasheria unasikiliza pande mbiliii
Hivi hujui kwamba chuki mtu uliyonayo dhidi ya mtu fulani inaweza ikaghubika kabisa busara zako?
Na matokeo yake ukaanza kuamini kila baya usikialo juu ya huyo mtu na kila zuri ulisikialo ukaanza kulipinga?
Katamu kwakweli..walau kamenipa kicheko after mnuno wa ushindi wa bibi bomba sitti
Hana mtoto alie kijijin usijfanye unamjua sana mxiee
Wacha weeeeee
Yani leo nacheka chekaa...hivi ntakuwa naumwa ugonjwa gani mwenzio?
Utakua unaumwa chekelea aiseeee njoo nikupe dawaa
Shosti nitumie hiyo dawa..yani toka asubuhi nacheka tuu, yani nacheka bila sababu...
Hana mtoto alie kijijin usijfanye unamjua sana mxiee
Mwambie dokta afanye kazi yake leo vizuriiii
umerudi kwa new id
Mwenzio kaja usiku wa manane kama kawa...mchana yuko busy kurekodi watu.
kama popo mchana analala usiku anaibuka