Superpower
JF-Expert Member
- Oct 11, 2018
- 826
- 920
Asante kwa ushauriAsa utaleta tafrani ipi?
Watadhani wewe mwizi au? Kwamba hawakuoni ukifanya kazi ila unaishi.
Hayo watajua wao.
Asante kwa kuniondolea shakainategemea unaishi wapi ila hamna shida fanya kazi mtu alikuuliza unamwambia unafanya working from home
Hahaha wabongo kwa majungu hawajambo utasikia anatunyonya nguvuWatakuita freemason [emoji23] OYA hv zile story za freemason bado zipo.?
Na hofia majungu yanaweza kua mengiMzee unaogopa watakuchoresha unauza madawa nini [emoji23]
Freelancing japo nimepanga kuingia kwenye blogging na photography contribution.Online kuna kaz nyingi zip ww unatarajia kuzifanya?
We fanya mishe zako tu usimuwazie mtuNa hofia majungu yanaweza kua mengi
GB 1.7 Hadi GB 2 kwa wikiUmejipangaje kwenye matumizi internet?
Duh unatumia Laptop au simu? Mbona chachhe sanaGB 1.7 Hadi GB 2 kwa wiki
Natumia simu mbiliDuh unatumia Laptop au simu? Mbona chachhe sana