Bloggers na freelancers, mnawezaje kufanya kazi zenu full time kwenye nyumba za kupanga?

Bloggers na freelancers, mnawezaje kufanya kazi zenu full time kwenye nyumba za kupanga?

Kwa ule msako wa panya road mkuu nakushauri weka na kigoli cha uwakala wa TTCL nje obvious TPesa haina watu[emoji38] watakuja kukuchoma hao wakiona unapendeza na utoki kazini
Aaah! Sema kwenye kigoli Tena watu hawajambo kufwatilia mtu anafanya Nini niliwafanyaga nilikua nauza goli moja la home aaah kwanza kwenye magoli watu wanapenda story ile mbaya utashangaa mtu umechili zako anakuja mtu anakupumzikia ile mbaya aisee
 
Goal lanini ukiamua kingia kwenye Online Business na ukaweza kupata Muda full-time nakushauri usifanye kazi au kukaa kwenye Goal lolote jitahidi uwe Free full-time uwekeze mida wako Online masuala wanakuonaje aisee sijawai kuona Excuse dhaifu Kama hiyo wao Ni nani yaani

Freelancing na Blogging ni Model Nzuri zaidi ukiwa Free full-time unajipangia muda asubui ukiamka unaomba Gigs kadhaa UPWORK mpakaa saa nne unafanya research na kuandaa Blog Post zako mchana unafanya Gig zako za Freelancing.
 
Wenyeviti wa vitongoji watakuunganisha na wezi wa kuku & majirani watakuwa wanakutolea mijicho sana hasa pale vitu vidogo vidogo vinapokuwa vimepotea
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]we jamaa acha miyayusho
 
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
we jamaa acha miyayusho
Miyeyusho ipi MKuu
 
Ndo nashangaa maana me nakata 4 GBs deile.. Labda anatumia simu sio Pc
Matumizi ya Bando inategemea na matumizi yako kwa Standard kilamtu anauefanya kazi za Online anaweza tumia GB zaidi ya hizo lakini kutokana na umaskini mtu unaweza jibana mimi naweza fanya kazi siku nzima na MB 500 simalizi na hapo Software nazotumia zinahitaji Bando kuzi Access kwasababu najibana sana zima washa data nawasha ni access kitu nazima chap ila nikitaka kufatisha kujiachia hizo GB 3 nazikata Kama upepo na siku haiishi
 
Back
Top Bottom