Superpower
JF-Expert Member
- Oct 11, 2018
- 826
- 920
- Thread starter
-
- #21
Aaah! Sema kwenye kigoli Tena watu hawajambo kufwatilia mtu anafanya Nini niliwafanyaga nilikua nauza goli moja la home aaah kwanza kwenye magoli watu wanapenda story ile mbaya utashangaa mtu umechili zako anakuja mtu anakupumzikia ile mbaya aiseeKwa ule msako wa panya road mkuu nakushauri weka na kigoli cha uwakala wa TTCL nje obvious TPesa haina watu[emoji38] watakuja kukuchoma hao wakiona unapendeza na utoki kazini
Goal lanini ukiamua kingia kwenye Online Business na ukaweza kupata Muda full-time nakushauri usifanye kazi au kukaa kwenye Goal lolote jitahidi uwe Free full-time uwekeze mida wako Online masuala wanakuonaje aisee sijawai kuona Excuse dhaifu Kama hiyo wao Ni nani yaaniAaah! Sema kwenye kigoli Tena watu hawajambo kufwatilia mtu anafanya Nini niliwafanyaga nilikua nauza goli moja la home aaah kwanza kwenye magoli watu wanapenda story ile mbaya utashangaa mtu umechili zako anakuja mtu anakupumzikia ile mbaya aisee
Aiseee ii mbinu nzuriKwa ule msako wa panya road mkuu nakushauri weka na kigoli cha uwakala wa TTCL nje obvious TPesa haina watu😆 watakuja kukuchoma hao wakiona unapendeza na utoki kazini
Zipi hizo mkuu namimi nijikiteOnline kuna kaz nyingi zip ww unatarajia kuzifanya?
Miyeyusho ipi MKuuwe jamaa acha miyayusho
Ndo nashangaa maana me nakata 4 GBs deile.. Labda anatumia simu sio PcDuh unatumia Laptop au simu? Mbona chachhe sana
Matumizi ya Bando inategemea na matumizi yako kwa Standard kilamtu anauefanya kazi za Online anaweza tumia GB zaidi ya hizo lakini kutokana na umaskini mtu unaweza jibana mimi naweza fanya kazi siku nzima na MB 500 simalizi na hapo Software nazotumia zinahitaji Bando kuzi Access kwasababu najibana sana zima washa data nawasha ni access kitu nazima chap ila nikitaka kufatisha kujiachia hizo GB 3 nazikata Kama upepo na siku haiishiNdo nashangaa maana me nakata 4 GBs deile.. Labda anatumia simu sio Pc