unaambukizwani kweli mwenye group o hawezi kuambukizwa ngoma?
Kuwa makini hakuna group la damu lisiloambukizwani kweli mwenye group o hawezi kuambukizwa ngoma?
Haiwezani ila unaweza kuchakachua damu ya mkuu wa meza.hivi haiwezekani kuchakachua damu ya ng,ombe ili itumike kwa binadamu?
Mie ni Rh lakini dokta haku niambia kama ni + au -
Haiwezani ila unaweza kuchakachua damu ya mkuu wa meza.
Ila inasemekana kwamba eti group O inaweza kupambana na magonjwa zaidi ni kweli? vipi kuhusu hisi RH+ NA - Ni nini adhari zake kwenye kuongezewa au kutoa damu,kwenye kupambana na magonjwa,na kwenye kuzaa mtoto na mtu mwenye damu ya tofauti?unaambukizwa